Japan yatuma mtambo wa kufagia anga za juu


Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,275
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,275 280


Japan imezindua chombo cha anga za juu ambacho kitabeba mtambo maalum wa kukusanya taka kutoka anga za juu.

Chombo hicho kitakuwa na nyaya ndefu za urefu wa mita 700 (nusu maili) ambazo zitatumiwa kuokota taka hizo. Nyaya hizo zitaundwa kwa madini ya aluminiamu na chuma cha pua.

Mtambo huo umeundwa kwa usaidizi kutoka kwa kampuni ya uvuvi.

Inakadiriwa kwamba kuna zaidi ya vipande 100 milioni vya taka kwenye mzingo wa dunia.

Vipande hivi ni pamoja na vipande vya setilaini zilizoacha kutumika, vifaa na vipande vya roketi.

Vipand vingi kati ya hivi vinasonga kwa kasi sana kuizunguka dunia kwenye mzingo wake, baadhi vikifikia kasi ya kilomita 28,000 kwa saa (maili 17,500 kwa saa) na kuna wasiwasi kwamba vinaweza kusababisha ajali mbaya au kuharibu mitambo inayosaidia mawasiliano duniani.

Taka hizo zimerundikana katika kipindi cha miaka 50 tangu binadamu aweze kuruka kwenya anga za juu, setilaiti ya Sputnik iliporushwa anga za juu na Muungano wa Usovieti mwaka 1957.

Mgongano kati ya setilaiti na kufanyiwa majaribio kwa mitambo ya kujikinga dhidi ya mshambulio ya setilaiti vimezidisha tatizo la taka anga za juu.
 
kimbendengu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
2,728
Likes
1,544
Points
280
kimbendengu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
2,728 1,544 280
sisi tunakazana kuongeza watoto mhm dunia hiii
 
darubin

darubin

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
1,310
Likes
944
Points
280
Age
32
darubin

darubin

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
1,310 944 280
good good da wenzetu wako nouma sana
 
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,979
Likes
1,775
Points
280
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,979 1,775 280
Kama ni kweli udukuzi wa technology unahusu
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,024
Likes
7,078
Points
280
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,024 7,078 280
Watume Na mtambo wa kukusanyia hewa ukaa huko anga za juu kwa kuwa hilo ndiyo tatizo kubwa zaidi linalosababisha mabadiliko makubwa ya tabia nchi kote duniani!
 
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
10,045
Likes
8,774
Points
280
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
10,045 8,774 280
na sisi tunanunua meli ziwa tanganyika na ziwa victoria
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,290
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,290 280
Sisi tunaruka na ungo - bila source of energy wala nini. Yaani tuna-mute kanuni zote za Fizikia haooo tunakwenda zetu. Sema tu usafiri wenyewe mpaka uwe uchi huku umejisiriba mihirizi na mavibuyu (Mshana Jr upo?)

On a serious note hawa wenzetu wako mbele mno. Utafikiri siyo sayari hii hii moja tunayoishi. Hii ngozi nyeusi hii we acha tu! Imagine wenzetu wanakwenda anga za juu kusafisha taka sisi tunaua albino ili tutajirike. Imagine that !!!
 
SANCTUS ANACLETUS

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
3,000
Likes
3,790
Points
280
SANCTUS ANACLETUS

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
3,000 3,790 280
Wafanye yooote
Ila watambue Mungu yupo
Kwa hiyo wewe unataka Mungu afanye hiyo kazi ya Kukusanya hizo taka?Mungu akichukua jukumu hilo wewe kazi yako itakuwa ni nini?Hiyo pumzi na majaliwa mengine kama Chakula,Mavazi na Malazi sharti uvilipie.Wajapan wanaelewa wajibu huo na ndio wanatimiza wajibu wao.Wewe kaa hapo usubirie Mungu aje "azoe" taka za angani! Kwanza Yeye ndo kaziweka?
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,290
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,290 280
Hawa sasa wanaprove wrong ile myth eti "all human beings are equal". Proved to be FALSE.
We nawe. All humans are equal imesimikwa kwenye mahitaji yao ya msingi - chakula, hewa, kifo, haki ya kuwa na furaha, uhuru na mengineyo; na kamwe siyo mambo haya ya bandia kama tofauti za kiuchumi, kiteknolojia na ..... Usichanganye madesa mkuu!
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,670
Likes
10,076
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,670 10,076 280
We nawe. All humans are equal imesimikwa kwenye mahitaji yao ya msingi - chakula, hewa, kifo, haki ya kuwa na furaha, uhuru na mengineyo; na kamwe siyo mambo haya ya bandia kama tofauti za kiuchumi, kiteknolojia na ..... Usichanganye madesa mkuu!
If so, was supposed to read "... are partially equal". Teknolojia mambo ya bandia? Watu wana brains za ajabu unasema bandia? Ni brains zilizowafikisha hapo walipo; brains ambazo hata sisi tunazo lakini hatufiki huko means human brains are not equal and therefore the humans themselves.
 
xuxu meyu

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
387
Likes
265
Points
80
xuxu meyu

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
387 265 80
sisi tunakazana kuongeza watoto mhm dunia hiii
Sawa nakubali lakini sindio tunacho kiweza sasa kama hatuna utaalam wa kufagia dunia tufanyeje?.
Mungu katupa utaalamu wa kuongeza watoto basi tuu tumie.
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,050
Likes
3,239
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,050 3,239 280
Lakini hao wataalamu waliounda huo mtambo wakiletwa Bongo bado kuna mtu ataona ana akili kuliko wao.
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,168
Likes
14,994
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,168 14,994 280
Sisi tumeshindwa hatabku hack jf kupata taarifa mpaka ashikwe max!!
 
wiseboy.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Messages
3,756
Likes
3,465
Points
280
wiseboy.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2014
3,756 3,465 280
Wafanye yooote
Ila watambue Mungu yupo
Wafanye yooote
Ila watambue Mungu yupo
Sasa Mungu ameingiaje hapo?
Mungu ndo kawapa hiyo tekinolojia japokuwa wajapan huwa hawaabudu Mungu.
Nyie na li ccm lenu mmekazana kupoteza watu na kuwatupia mto ruvu na kukandamiza Uhuru wa habari.
hamna lolote zaidi ya ushamba wa madaraka
 

Forum statistics

Threads 1,273,309
Members 490,351
Posts 30,477,674