Japan yatoa ushirikiano kwa US kusawazisha biashara ya upande mmoja

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,204
7,892
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe amekuwa akifanya kazi na Rais Donald Trump ili kusaidia kusawazisha biashara ya upande mmoja na Japan.
Huu ni baadhi ya uwekezaji wanaofanya Japan katika Nchi ya Marekani, Trump kasema huo ni mwanzo tu!
IMG_20181019_084753.jpg

Hivi kwa nini mchina alipoguswa kuhusu hili aling'aka sana? Na hadi imepelekea trade war vs US.
 
View attachment 903017

Hivi kwa nini mchina alipoguswa kuhusu hili aling'aka sana? Na hadi imepelekea trade war vs US.
Mjapani kesharidhika kutawaliwa na US sio mchina...
 
Uhusiano kati ya Marekani na Japan ni historical sasa Japan wako tayari kurekebisha Trade Balance kati yao na Marekani kitu ambacho China anakwepa japo imeanza kumgharimu.

Japan yuko tayari kununua Soybeans toka Marekani waliyoacha kununua Wachina kulipiza kisasi kufuatia kulimwa Sickening Trade Tariffs na Marekani.

Sasa China ananunua the same Soybeans from Brazil japo kwa bei kubwa kuliko ile aliyokuwa akiuziwa na Marekani.
 
Uwekezaji wenye tija ni ule ambao kila mtu ni trade partner...kwa sababu kila mtu anajitahidi kuwa mzalishaji....anachokifanya Japan ni 50s style...ambapo U.S. alikuwa na miundo mbinu imara ya uzalishaji na tafiti wengine wakiwa taabani kwa madhara ya vita..leo hii ulaya,China,Russia,Turkey na sasa Iran wanawaza kuikimbia fiat currency.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom