Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

Jorowe

Member
Jun 9, 2018
14
45
gari inayopaa si ni ndege ?, Tatizo sio uwezo wa kuwa na kitu kama hiki tatizo ni uendeshaji na vurugu mitaani atleast gari barabarani unajua uikwepe vipi sasa magari yakianza kupita kama nzi na mwewe itakuwa tatizo hauchelewi kuwa unatembea unashangaa unadondokewa na oil chafu au ganda la ndizi
Ila wewe jamaa
 
zeronill

Member
Jan 1, 2019
46
95
Sababu sisi hatutengenezi magari basi inamaanisha dunia nzima haitengenezi magari?

hio project ya 2023 ni ya kwao Skydrive na sio kampuni nyengine duniani inaweza ikawa 2020, 2100, 3000 ama mwaka 5000 kwa kampuni nyengine...
ebu nitajie kampuni gan imetengeneza hayo magari na pikipiki zinazo paa japan dah tuache bas kuchukua story za ananias ediga tunaleta hapa huwez tumia miaka 10 kutengeneza technologia ambayo tayari ina exist so far no practical car ambayo iko tayari commercially hata hao aeromobil bado hawajaingiza mtaani magari yao yako underdevelopment
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,821
2,000

Nani amesema Commercial? Hilo neno umetunga mwenyewe na umenilisha.

Nimetaja kampuni za juu hapo ambazo tayari zina working prototype na nimesema Dubai zinatumika ila sijasema popote pale kwamba zinapatikana Commercially.

Hii video police wa dubai aki crash hizo Hover Bike.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,821
2,000
ebu nitajie kampuni gan imetengeneza hayo magari na pikipiki zinazo paa japan dah tuache bas kuchukua story za ananias ediga tunaleta hapa huwez tumia miaka 10 kutengeneza technologia ambayo tayari ina exist so far no practical car ambayo iko tayari commercially hata hao aeromobil bado hawajaingiza mtaani magari yao yako underdevelopment
Na kampuni nimetaja zaidi ya 8 huko juu, Hyundai, Daimler, ezangh, uber, Airbus, Porsche, Toyota, Nec na nyengine kibao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom