Japan: Mwandishi apinga kanuni za uvaaji “high heels” makazini, Waziri asema ni muhimu

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,743
4,270
B842BD7E-C45D-4FED-AF5D-7ABE3CE43B3C.jpeg


Waziri wa Afya na Ajira wa Japan, Takumi Nemoto amesema ni muhimu kwa makampuni kulazimisha wafanyakazi wake wa kike kuvaa viatu virefu “high heels” wawapo kazini.

Amesema kama kuna ulazima wa kitaaluma na inaonekana inafaa zaidi wakivaa hivyo, ni jambo la kukubalika kabisa.

Alitoa kauli hiyo akiwa kwenye mkutano wa Kamati ya Bunge alipotakiwa kutoa maoni kuhusu kampeni ya #KuToo iliyoanzishwa na mwigizaji na mwandishi Yumi Ishikawa ambaye alitaka kufutwa kwa kanuni hizo alizoziita za kibaguzi.

Kampeni hiyo imetokana na maneno ya Kijapani “kutsu” yaani viatu na “kutsuu” yaani maumivu na imetengenezwa kulandana na ile ya kufichua udhalilishaji wa kijinsia Marekani ya #MeToo.

Ishikawa alianzisha “petition” iliyopata sahihi takribani 19,000 na kupata sapoti kubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Bi. Ishikawa anasema lengo lake ni kubadili mtazamo wa kijamii na isionekane tabia mbaya ama ukaidi kama wanawake wataamua kuvaa viatu “flat” kama wanaume.

=========

A Japanese minister has said it is "necessary" for companies to enforce dress codes that require women to wear high heels at work.

Takumi Nemoto, Japan's health and labour minister, defended the controversial practice.

"It is socially accepted as something that falls within the realm of being occupationally necessary and appropriate," Mr Nemoto said.

He reportedly made the comments at a parliamentary committee on Wednesday.

One lawmaker, Kanako Otsuji, suggested such rules were "outdated" during the same session, Kyodo News reports.

Mr Nemoto was asked to comment on a campaign spearheaded by actor and writer Yumi Ishikawa , who is calling for discriminatory workplace dress codes to be scrapped.

She launched a petition after being made to wear high heels while working at a funeral parlour.

Her petition has gained traction on social media, receiving thousands of signatures and international support.

It was submitted to Japan's labour ministry on Tuesday with 18,800 signatures, according to Kyodo News.

Supporters have been tweeting the petition alongside the hashtag #KuToo in solidarity with her cause, mirroring the #MeToo movement against sexual abuse.

The slogan plays on the Japanese words for shoes "kutsu" and pain "kutsuu".

Campaigners say that wearing high heels is seen as obligatory when applying for jobs.

"I hope this campaign will change the social norm so that it won't be considered to be bad manners when women wear flat shoes like men," Ms Ishikawa said.

Petitions against high heels in the workplace have attracted support elsewhere, too.
 
Back
Top Bottom