Japan ilifanya kosa kubwa sana kumwachia USA awe mlinzi wake mkuu baada ya kuisha kwa WWII

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,423
2,000
Baada ya kumalizika kwa WWII na Japan kushindwa vita baada ya kuangushwa kwa mabomu ya Atomic kule Hiroshima na Nagasaki Japan aliamua kusurender na kuachana kabisa na vita ili ajenge uchumi wake ambao uliporomoka kwa kiasi kikubwa kutokana na kupigana vita kwa muda mrefu na mataifa mabalimbali makubwa na vita nyingi iliibuka mahindi hadi kuwa tishio la duniaHistoria inaeleza kuwa Japan ilikuwa ni tishio kubwa enzi hizo, Historia inaeleza kuwa Japan ilikuwa imeshapiga hatua kubwa sana kijeshi kipindi hicho huku ikijitengenezea zana zake yenyewe bila kutegemea taifa lolote lile

Pia historia inaeleza kuwa Japan ndio taifa pekee ambalo ilikaribia kuingia ndni ya ardhi ya marekani kijeshi baada ya lile shambulio kali la pearl habour attack ambalo lilipoteza uhai zaidi ya raia 2000 wa marekani katika lile shambulio la ndege za japan kwa mda mfupi tu

Baada ya japan kufikia hatua kubwa za kutaka kuiangamiza marekani kivita ilibidi Raisi wa marekani kipindi hicho asaini kwa dharura kuangushwa kwa mabomu ya nuclear japan ili kumshinikiza Japan kuachana na ile vita maana Japan alishakuwa sugu kivita yaani alikuwa hapigiki kirahisi kivita

Historia inaeleza kuwa baada ya kuangushwa kwa yale mabobu kule hiroshima na Nagasaki Japan iliamua Kuachana na vita na kuamuru wanajeshi wake wote warudishwe nyumbani na katika mkataba wa kusurender japan aliamuriwa kuwa apunguze jeshi lake ili kumzuia kuja kuanzisha vita vingine na alimuriwa amuache Mmarekani ndio awe mlinzi wake mkuu kijeshi miaka yote

Baada ya Japan kukubali hiyo janja ya Mmarekani hivi leo mwaka 2017 Japan huko alipo najua sasa anajuta kwa nini alikubali kufanya upuuzi kama ule wa kumruhusu mmarekani ndio awe mshirika wake mkuu katika maswala ya ulinzi kwani kilichotokea ni kuwa Marekani badala ya kumfanya japan awe imara kijeshi mwishowe japan sasa imekuwa legevu na kila mitambo ya ulinzi na mbinu imekuwa ikimtegemea Mmarekani

Japan ilikuwa sio taifa la kuja kutishiwa na watoto wa juzi hawa akina kim jon un kama ingejiwekea misingi yake yenyewe ya kiteknolojia ya kujilinda kijeshi bila kutegemea msaada wa Mmarekani. Japan ilitakiwa iwe tishio na hakuna wa kumsogelea pale sio Mchina,mkorea wala Mmarekani.

Leo hii imefikia hatua mkorea makombora yake yote anayatestia japan kwasababu ashajua udhaifu wa japan ulivyo. Sasa ivi mjapan amekuwa akimtajirisha mmarekani kwa kununua mitambo mikubwa ya ghatama ya kujilinda na makombora kutoka korea na cha kusikitisha hiyo mitambo bado imeshindwa kutungua makombora yanayotoka korea

Japan sasa anatishiwa nyau na kim ?

Kweli mmarekani sio mtu kabisa
 
xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,150
2,000
Na walisain pia mkataba wa kutotengeneza silaha kubwa kubwa,ndo maana wakawekeza akil zao ktk tecnology na wakapiga hatua saana
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,952
2,000
Sio Japan tu Hata Ujeruman Magharibi ilikiwa hivyo, na sio kweli kwamba Wajapan na hao Wajeruman walitaka, bali Walilazimishwa
Lilikuwa ni sharti la katika mkataba wa Kumaliza vita, alilazimika kukubali, vinginevyo alitishiwa kutupia Bomu lingine LA nyuklia Tokyo!
Akiamua kuunda jeshi kama LA mwanzo maana yake ni kuwa atakuwa amevunja mkataba wa kuvimaliza vita, kuwa katika vita na marekani moja kwa moja! Hilo haliwezekani!
Kwa mfano Japan wana teknologia tayari ya kuunda Bomu LA nyuklia na missile za masafa marefu, lakini marekani hawawezi kumruhusu maana wanahofia kuwa anaweza kuamua kulipiza kisasi! Wala hawezi kutengeneza kwa siri maana kila sehemu kuna wananeshi wa marekani wakiwaangalia!
Hakuna urafiki wa kweli hapo!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,738
2,000
Ni kweli kwamba japan iliishaendelea muda mrefu sana,kiasi cha kuwa na makoloni kabisa mfano china.ila hiyo kauli ya kusema kawa mdebwedo sikubaliani nayo.

Hawa jamaa baada ya lile tukio ni kama walielewa madhara ya vita rasmi na kuamua kudeal na mishe zingine za maana,hulka hii ameambukiza lililokuwa koloni lake china.

Hata hivyo sijaona hasara yoyote mpaka sasa kwa mkataba ule.kim ni kichaa wa kupuuzwa tu.
 
claytonx

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
1,843
2,000
Ilikua ni njia pekee ya kukuza uchumi wake kipindi hicho....na si kweli kwa jeshi la Japani ni legevu kiasi hicho unachofikiria
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
36,791
2,000
Hivi mshaangalia rank ya kijeshi japan anashika namba ngapi?,au germany?.

Kim anatest makombora uelekeo wa japan ,maana huko ndo hakuna jam ya nchi,eneo kubwa ni bahari,

hawezi elekezea uelekeo wa china maana eneo kubwa ni ardhi,ataua watu,
 
JustDoItNow

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
2,970
2,000
Baada ya kumalizika kwa WWII na Japan kushindwa vita baada ya kuangushwa kwa mabomu ya Atomic kule Hiroshima na Nagasaki Japan aliamua kusurender na kuachana kabisa na vita ili ajenge uchumi wake ambao uliporomoka kwa kiasi kikubwa kutokana na kupigana vita kwa muda mrefu na mataifa mabalimbali makubwa na vita nyingi iliibuka mahindi hadi kuwa tishio la duniaHistoria inaeleza kuwa Japan ilikuwa ni tishio kubwa enzi hizo, Historia inaeleza kuwa Japan ilikuwa imeshapiga hatua kubwa sana kijeshi kipindi hicho huku ikijitengenezea zana zake yenyewe bila kutegemea taifa lolote lile

Pia historia inaeleza kuwa Japan ndio taifa pekee ambalo ilikaribia kuingia ndni ya ardhi ya marekani kijeshi baada ya lile shambulio kali la pearl habour attack ambalo lilipoteza uhai zaidi ya raia 2000 wa marekani katika lile shambulio la ndege za japan kwa mda mfupi tu

Baada ya japan kufikia hatua kubwa za kutaka kuiangamiza marekani kivita ilibidi Raisi wa marekani kipindi hicho asaini kwa dharura kuangushwa kwa mabomu ya nuclear japan ili kumshinikiza Japan kuachana na ile vita maana Japan alishakuwa sugu kivita yaani alikuwa hapigiki kirahisi kivita

Historia inaeleza kuwa baada ya kuangushwa kwa yale mabobu kule hiroshima na Nagasaki Japan iliamua Kuachana na vita na kuamuru wanajeshi wake wote warudishwe nyumbani na katika mkataba wa kusurender japan aliamuriwa kuwa apunguze jeshi lake ili kumzuia kuja kuanzisha vita vingine na alimuriwa amuache Mmarekani ndio awe mlinzi wake mkuu kijeshi miaka yote

Baada ya Japan kukubali hiyo janja ya Mmarekani hivi leo mwaka 2017 Japan huko alipo najua sasa anajuta kwa nini alikubali kufanya upuuzi kama ule wa kumruhusu mmarekani ndio awe mshirika wake mkuu katika maswala ya ulinzi kwani kilichotokea ni kuwa Marekani badala ya kumfanya japan awe imara kijeshi mwishowe japan sasa imekuwa legevu na kila mitambo ya ulinzi na mbinu imekuwa ikimtegemea Mmarekani

Japan ilikuwa sio taifa la kuja kutishiwa na watoto wa juzi hawa akina kim jon un kama ingejiwekea misingi yake yenyewe ya kiteknolojia ya kujilinda kijeshi bila kutegemea msaada wa Mmarekani. Japan ilitakiwa iwe tishio na hakuna wa kumsogelea pale sio Mchina,mkorea wala Mmarekani.

Leo hii imefikia hatua mkorea makombora yake yote anayatestia japan kwasababu ashajua udhaifu wa japan ulivyo. Sasa ivi mjapan amekuwa akimtajirisha mmarekani kwa kununua mitambo mikubwa ya ghatama ya kujilinda na makombora kutoka korea na cha kusikitisha hiyo mitambo bado imeshindwa kutungua makombora yanayotoka korea

Japan sasa anatishiwa nyau na kim ?

Kweli mmarekani sio mtu kabisa
Mbona nilisikia regan alivyotembelea Japan alionyeshwa mtambo ambao kama marekani ikirusha tena lile kombora la nyuklia inalirudisha mpaka marekani na kulilipulia huko? au ni story za kijiweni. Inasemekana baada ya regan kuonyeshwa hivyo alizimia
 
JustDoItNow

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
2,970
2,000
Lilikuwa ni sharti la katika mkataba wa Kumaliza vita, alilazimika kukubali, vinginevyo alitishiwa kutupia Bomu lingine LA nyuklia Tokyo!
Akiamua kuunda jeshi kama LA mwanzo maana yake ni kuwa atakuwa amevunja mkataba wa kuvimaliza vita, kuwa katika vita na marekani moja kwa moja! Hilo haliwezekani!
Kwa mfano Japan wana teknologia tayari ya kuunda Bomu LA nyuklia na missile za masafa marefu, lakini marekani hawawezi kumruhusu maana wanahofia kuwa anaweza kuamua kulipiza kisasi! Wala hawezi kutengeneza kwa siri maana kila sehemu kuna wananeshi wa marekani wakiwaangalia!
Hakuna urafiki wa kweli hapo!
Bora kiduku yeye hajajicomit na lolote
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,336
2,000
Ukishakuwa Muhuni/Gangstar halafu baadae ukaokoka kuna watu watakusumbua lakini kwavile uliamua ishi maisha mapya ugomvi haitakuwa njia ya kusuluhisha matatizo yako!!..
Ila siku ukiamua kumbushia 'enzi' zako hakuna atakayebaki salama!...
Pata picha German, Japan & Italy waamue kuwa aggressive hata USA na Israel hawatafua dafu!
 
xaracter

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,027
2,000
Baada ya kumalizika kwa WWII na Japan kushindwa vita baada ya kuangushwa kwa mabomu ya Atomic kule Hiroshima na Nagasaki Japan aliamua kusurender na kuachana kabisa na vita ili ajenge uchumi wake ambao uliporomoka kwa kiasi kikubwa kutokana na kupigana vita kwa muda mrefu na mataifa mabalimbali makubwa na vita nyingi iliibuka mahindi hadi kuwa tishio la duniaHistoria inaeleza kuwa Japan ilikuwa ni tishio kubwa enzi hizo, Historia inaeleza kuwa Japan ilikuwa imeshapiga hatua kubwa sana kijeshi kipindi hicho huku ikijitengenezea zana zake yenyewe bila kutegemea taifa lolote lile

Pia historia inaeleza kuwa Japan ndio taifa pekee ambalo ilikaribia kuingia ndni ya ardhi ya marekani kijeshi baada ya lile shambulio kali la pearl habour attack ambalo lilipoteza uhai zaidi ya raia 2000 wa marekani katika lile shambulio la ndege za japan kwa mda mfupi tu

Baada ya japan kufikia hatua kubwa za kutaka kuiangamiza marekani kivita ilibidi Raisi wa marekani kipindi hicho asaini kwa dharura kuangushwa kwa mabomu ya nuclear japan ili kumshinikiza Japan kuachana na ile vita maana Japan alishakuwa sugu kivita yaani alikuwa hapigiki kirahisi kivita

Historia inaeleza kuwa baada ya kuangushwa kwa yale mabobu kule hiroshima na Nagasaki Japan iliamua Kuachana na vita na kuamuru wanajeshi wake wote warudishwe nyumbani na katika mkataba wa kusurender japan aliamuriwa kuwa apunguze jeshi lake ili kumzuia kuja kuanzisha vita vingine na alimuriwa amuache Mmarekani ndio awe mlinzi wake mkuu kijeshi miaka yote

Baada ya Japan kukubali hiyo janja ya Mmarekani hivi leo mwaka 2017 Japan huko alipo najua sasa anajuta kwa nini alikubali kufanya upuuzi kama ule wa kumruhusu mmarekani ndio awe mshirika wake mkuu katika maswala ya ulinzi kwani kilichotokea ni kuwa Marekani badala ya kumfanya japan awe imara kijeshi mwishowe japan sasa imekuwa legevu na kila mitambo ya ulinzi na mbinu imekuwa ikimtegemea Mmarekani

Japan ilikuwa sio taifa la kuja kutishiwa na watoto wa juzi hawa akina kim jon un kama ingejiwekea misingi yake yenyewe ya kiteknolojia ya kujilinda kijeshi bila kutegemea msaada wa Mmarekani. Japan ilitakiwa iwe tishio na hakuna wa kumsogelea pale sio Mchina,mkorea wala Mmarekani.

Leo hii imefikia hatua mkorea makombora yake yote anayatestia japan kwasababu ashajua udhaifu wa japan ulivyo. Sasa ivi mjapan amekuwa akimtajirisha mmarekani kwa kununua mitambo mikubwa ya ghatama ya kujilinda na makombora kutoka korea na cha kusikitisha hiyo mitambo bado imeshindwa kutungua makombora yanayotoka korea

Japan sasa anatishiwa nyau na kim ?

Kweli mmarekani sio mtu kabisa
Ni mikataba ya kimataifa inayowabana kutokana na walichofanya ilitokea hata kwa wajerumani pia ndio maana walipokonywa makoloni yao yote hata Tanganyika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom