Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
JAPAN: Mchezaji nguli wa nafasi ya kiungo, Andrés Iniesta amesaini kandarasi ya kujiunga na Klabu ya Soka ya Vissel Kobe na kukabidhiwa jezi namba 8
> Andrés Iniesta amejiunga na klabu hiyo baada ya kuachana na klabu yake ya FC Barcelona aliyoitumikia kuanzia enzi za utoto wake na kutwaa mataji 34