JAPAN: Fundi Andrés Iniesta ajiunga na Klabu ya Vissel Kobe na kukabidhiwa jezi namba 8

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20180524_114016.jpg


JAPAN: Mchezaji nguli wa nafasi ya kiungo, Andrés Iniesta amesaini kandarasi ya kujiunga na Klabu ya Soka ya Vissel Kobe na kukabidhiwa jezi namba 8​

> Andrés Iniesta amejiunga na klabu hiyo baada ya kuachana na klabu yake ya FC Barcelona aliyoitumikia kuanzia enzi za utoto wake na kutwaa mataji 34
 
Greatest Player of his Generation.

Jamaa ulaya ilikua inamuhitaji bado sijui kwanini kaondoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom