January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live.

January Makamba, yuko Very Iteligent, Humble, Down-to-earth, kwa maoni yangu, this fellow Can Make The Best President, this country can ever have, but very unfortunately, imekuwa ni mazoea kwa nchi yetu kati ya wote wanaogombea kupitia CCM ( Rais wa Tanzania Atatoka CCM tuu), siku zote wanaoshinda they're not the best ukimuondoa Nyerere.

Kwenye batch ya Mwinyi, the best hakuwa Mwinyi.

Kwenye batch ya Mkapa, the best alikuwa Lowassa, kwenye batch ya Kikwete, the best was Dr. Salim.

Kwenye batch ya Magufuli naomba tusiseme, ili kuondoa notions kuwa we might be having a president who is not the best president we could have, ila kwenye wale zaidi ya 40 aliochukua nao fomu CCM, naamini hata Magufuli mwenyewe anajua, ila anaeupata urais huyo ndiye aliyepangiwa na Mungu kuwa rais wa Tanzania.

Hili la rais kupangwa na Mungu, niliwahi kulizungumza humu
Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni... - JamiiForums

Kuna kitu niliwahi kusema kuhusu mtu huyu
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!. - JamiiForums

P
Mayala kazi yako huwa unaimudu vema kabisa.
 
Je mfumo (system) inaweza kuendana na mtazamo wako wa The best president?? Any one can be the best president including you Paskali!
 
Pascally Mayalla, kwa nn Mungu umuusishe na siasa hizi, mimi siamini hivyo, wapo wanao oongoza mataifa kwa kutoa makafala, kuua na kadhalika miungu nayo uusika sanaaa kuwaweka watu madarakani kwa nn hatutaki kujiuliza kwa nn tunapokarbia uchaguzi ndo mauaji ya watu mbal mbali nchini mwetu ushamiri ebu rejea mauaji ya watt njombe,simiyu na sasa yameanza arusha, hiv tutamtengaje agombeaye uraisi na mauaji haya ilihali ni mwanasiasa? Mfano tumemchagua na kumpa katiba, inayompa madaraka makubwa inayompa uamirijeshi mkuu wa majeshi yote lakini bdo mauaji yanayokea na wauaji wapo hapa hapa tanzania! Nataka niamini kuwa miungu na Mungu uombwa ili kuwa viongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urais wa Tanzania haitoshi kuwa intelligent tu na humble, kuongeaongea maneno matamu matamu bila maamuzi yoyote.

Urais wa Tanzania ni kuchukua maamuzi ,ni maamuzi tu ndiyo yanaifanya Tanzania iende mbele

Huyo Makamba amekuwa mbunge na waziri kwa muda mrefu ni maamuzi yapi aliyoyachukua kwa manufaa ya wapiga kura wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
0
 
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live.

January Makamba, yuko Very Iteligent, Humble, Down-to-earth, kwa maoni yangu, this fellow Can Make The Best President, this country can ever have, but very unfortunately, imekuwa ni mazoea kwa nchi yetu kati ya wote wanaogombea kupitia CCM ( Rais wa Tanzania Atatoka CCM tuu), siku zote wanaoshinda they're not the best ukimuondoa Nyerere.

Kwenye batch ya Mwinyi, the best hakuwa Mwinyi.

Kwenye batch ya Mkapa, the best alikuwa Lowassa, kwenye batch ya Kikwete, the best was Dr. Salim.

Kwenye batch ya Magufuli naomba tusiseme, ili kuondoa notions kuwa we might be having a president who is not the best president we could have, ila kwenye wale zaidi ya 40 aliochukua nao fomu CCM, naamini hata Magufuli mwenyewe anajua, ila anaeupata urais huyo ndiye aliyepangiwa na Mungu kuwa rais wa Tanzania.

Hili la rais kupangwa na Mungu, niliwahi kulizungumza humu
Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni... - JamiiForums

Kuna kitu niliwahi kusema kuhusu mtu huyu
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!. - JamiiForums

P
Kwa vyovyote vile vigezo vyako vitakuwa subjective, suala la best or wrong president is not what is eating this country, tatizo no 1 nchi hii ni kuwa na taasisi mfu zisizoweza kujisimamia au kusimamia chochote, zipo kama mbwa kuamrishwa kubweka au kuuma kwa amri ya mtu mmoja aliepewa nguvu kisheria na kikatiba kuamrisha kila taasisi au mtu abweke au Ang'ate, haijarishi huyo mtu ni speaker au chief justice, with that kind of political system, ukipata muamrisha mbwa kichaa basi kila sehemu ni kukimbizana, ukipata muamrisha mbwa "smart" ndio watu wanatulia kidogo, sasa kama taifa tatizo litakuwa kupata muamrisha mbwa mzuri au kupata taasisi zinazoweza mthibiti kila mtu akiwemo muamrisha mbwa?

Chukulia marekani jamaa mmoja akamrisha hataki kuona mwindishi wa CNN Whitehouse sababu tu CNN inamkera, sababu kuna taasisi imara mahakama ikaamuru huyo mtu aendelee kwenda whenever press conference itaitishwa Na apewe kibali cha kuingi jumba jeupe sababu hiyo mali sio mali binafsi ya huyo jamaa..na hilo suala limetekelezwa. Chukua huu mfano uone jinsi taasisi zilivyo na umuhumi kuliko watu kwenye rule of law. Kusema fulani atakuwa mzuri ni kama kubet unaweza pata au kukosa, nothing is guaranteed.

Hao watu ni kama mimi na wewe na madaraka kama ilivyo pesa ni kitu hatari sana.They have enormous power to change any person, si mnamuona January leo anaji post anakula mishkaki sijui na wana moro, siku akiamka akaona barabara zinafungwa ili apite ndio utajua kumbe ulikuwa haumjui January, the only thing kitakachomfanya January aendelee kuwa January ni taasisi imara, sheria imara, katiba nzuri ili hiyo power isi mcorrupt. "Power corrupt but absolute power corrupt absolutely".
 
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live.

January Makamba, yuko Very Iteligent, Humble, Down-to-earth, kwa maoni yangu, this fellow Can Make The Best President, this country can ever have, but very unfortunately, imekuwa ni mazoea kwa nchi yetu kati ya wote wanaogombea kupitia CCM ( Rais wa Tanzania Atatoka CCM tuu), siku zote wanaoshinda they're not the best ukimuondoa Nyerere.

Kwenye batch ya Mwinyi, the best hakuwa Mwinyi.

Kwenye batch ya Mkapa, the best alikuwa Lowassa, kwenye batch ya Kikwete, the best was Dr. Salim.

Kwenye batch ya Magufuli naomba tusiseme, ili kuondoa notions kuwa we might be having a president who is not the best president we could have, ila kwenye wale zaidi ya 40 aliochukua nao fomu CCM, naamini hata Magufuli mwenyewe anajua, ila anaeupata urais huyo ndiye aliyepangiwa na Mungu kuwa rais wa Tanzania.

Hili la rais kupangwa na Mungu, niliwahi kulizungumza humu
Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni... - JamiiForums

Kuna kitu niliwahi kusema kuhusu mtu huyu
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!. - JamiiForums

P
Sijui kuhusu January ila ulichokifanya usishangae akikosa uwaziri asubuhi na wewe ukatafuta uraia kwasababu soon hutakuwa Mtanzania. Andaa vyeti vya kuzaliwa babu wa pande zote na bibi , baba na mama na wajomba .
 
Mkuu Pascal kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti kabisa, kuna binadamu ni Mabingwa wa kujieleza, utapenda umsikilize usiku na mchana daima, na hii ndio sifa ya baadhi ya watanzania,

Ila kuna action men's nchini, hawa chiriku wa kuandaa maswali ya kipindi kaa nao wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live.

January Makamba, yuko Very Iteligent, Humble, Down-to-earth, kwa maoni yangu, this fellow Can Make The Best President, this country can ever have, but very unfortunately, imekuwa ni mazoea kwa nchi yetu kati ya wote wanaogombea kupitia CCM ( Rais wa Tanzania Atatoka CCM tuu), siku zote wanaoshinda they're not the best ukimuondoa Nyerere.

Kwenye batch ya Mwinyi, the best hakuwa Mwinyi.

Kwenye batch ya Mkapa, the best alikuwa Lowassa, kwenye batch ya Kikwete, the best was Dr. Salim.

Kwenye batch ya Magufuli naomba tusiseme, ili kuondoa notions kuwa we might be having a president who is not the best president we could have, ila kwenye wale zaidi ya 40 aliochukua nao fomu CCM, naamini hata Magufuli mwenyewe anajua, ila anaeupata urais huyo ndiye aliyepangiwa na Mungu kuwa rais wa Tanzania.

Hili la rais kupangwa na Mungu, niliwahi kulizungumza humu
Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni... - JamiiForums

Kuna kitu niliwahi kusema kuhusu mtu huyu
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!. - JamiiForums

Naombeni bandiko hili lisitafsiriwe ni kutaka kumfagilia mtu. Sikuanzia kwa January

Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! - JamiiForums

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
P

Hivi intelligence ya mtu huwa unaipima kwa parameter zipi?
 
Uzi mzuri Mkuu..

Ila hili la Rais wa Nchi hupangwa na Mungu naona sio sawa Mkuu wangu..

Mungu hapendi WIZI wa kura kabisa.

Remain Blessed Paskali.
 
Katika wanasiasa ambao Tanzania tunapaswa kujivunia ni Pamoja na January Makamba..He is Very Smart,Bright and Intelligent..Urais hauhitaji mtu anaelala kwenye makaravati kusimamia ujenzi wa daraja ili aonekane anafanya kazi..Presidential is about Creativity,Vision,Focus even exposure pia vitu ambavyo huyu kijana anavyo..kutumia maguvu bila akili sio sifa pekee ya kuwa Presidential Material..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwamba ww ni kiazi lakini wangalau umekuja na wazo tofauti lenye tija.
Una matatizo makubwa sana ya akili na low self esteem. Ukiona mwanaume hafungamani na Wewe unashikwa na jazba na kumuona kiazi utafikiri amekufanya mke wa pili. Tafuta tiba bila hivyo utachukia Wanaume wote Duniani wenye misimamo.
Una catch feelings JF!? Unafikiri uko Uwanja wako wa madanga Badoo!
Pathetic swine!
 
Duuui hili povu huwezi amini ni la shoga aliyefunga ndoa ya mkeka. Hili ni povu la karne ya 22.
 
Back
Top Bottom