Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Huyu mtoto wa makamba January hana adabu. Ana majina mengi sana humu Jamii Forums, Kwa jina lake jingine JOKAKUU, nanuu aliyaandika,
kwangu mimi huu uchaguzi umekwisha na JK ndiyo Raisi.
..matokeo haya yamenisikitisha sana, kwasababu naamini kabisa Slaa au Lipumba ni more capable kuliko JK...sasa CCM ina tabia ya "kujivua ngozi" ngozi kila inapofikia wakati wa kubadilisha mgombea Uraisi...kwa mtizamo wangu January Makamba,Magufuli,Membe,na Migiro, wanapaswa kuangaliwa kwa umakini sana kuelekea mwaka 2015...wapinzani wajiandae jinsi ya kupambana na yeyote kati ya hao itakapofika 2015.
Familia ya makamba itatuona wapumbavu hadi lini? Tumesoma zaidi ya january, lakini kipato chetu haiwezi kumlipia mtoto chuo, licha ya kuishi kwenye nyumba ya maana.il hali january makamba anakuja humu kututukana kwamba atatuongoza. January umeshaonyesha huchu wako wa madaraka kama baba yako fisadi. Tunakusoma na kukuona, usidhani hii nchi ni ya baba yako, tuna hasira sana, majonzi makubwa wewe unacheza, jihadhari sana kijana. Usidhanie mtatunyanyasa milele