January Makamba usituchezee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba usituchezee

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Nov 4, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto wa makamba January hana adabu. Ana majina mengi sana humu Jamii Forums, Kwa jina lake jingine JOKAKUU, nanuu aliyaandika,

  kwangu mimi huu uchaguzi umekwisha na JK ndiyo Raisi.
  ..matokeo haya yamenisikitisha sana, kwasababu naamini kabisa Slaa au Lipumba ni more capable kuliko JK...sasa CCM ina tabia ya "kujivua ngozi" ngozi kila inapofikia wakati wa kubadilisha mgombea Uraisi...kwa mtizamo wangu January Makamba,Magufuli,Membe,na Migiro, wanapaswa kuangaliwa kwa umakini sana kuelekea mwaka 2015...wapinzani wajiandae jinsi ya kupambana na yeyote kati ya hao itakapofika 2015.


  Familia ya makamba itatuona wapumbavu hadi lini? Tumesoma zaidi ya january, lakini kipato chetu haiwezi kumlipia mtoto chuo, licha ya kuishi kwenye nyumba ya maana.il hali january makamba anakuja humu kututukana kwamba atatuongoza. January umeshaonyesha huchu wako wa madaraka kama baba yako fisadi. Tunakusoma na kukuona, usidhani hii nchi ni ya baba yako, tuna hasira sana, majonzi makubwa wewe unacheza, jihadhari sana kijana. Usidhanie mtatunyanyasa milele
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mleta thread naomba umuombe radhi mchangiaji makini kabisa wa JF huyu Ustaadh Jokakuu..binafsi ni mmojawapo wa watu ambao siwezi kuacha kusoma posts zake nadhifu na sidhani kama uelewa wake mkubwa unaeza kuwa matched na any of the Makambaz.
   
 3. k

  kim jong ii Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole na wivu wako. Ccm inapeta na kutojua kusoma alama za wakati omba msaada jk ndo rais na kina january. Wanafuata we kaa na ujinga wako wa chadema
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haa haaa ccm bana mnaanza kuumbuana eeeh...! Tuambie wewe pia ni nani......Membe..?
   
 5. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza kulikuwa na habari za sherehe za kuapishwa Silaa halafu kulikuwa na habari za watu kuaga nyumbani kwa sababu wataingia mitaani kwenye Pipoz Pawa... Sasa imebaki story tu.

  Anyway, hapa ni story tu, kula kila mtu kwao! Teh teh teh!!!!!
   
 6. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  non sense
   
 7. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwehehehehehe!!!!!!!
   
Loading...