mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,078
- 3,142
Hshahahahhahahahahaha......Umeme unakatika na Waziri mwenye dhamana inasemekana yeye sio nyaya za umeme.
Nchi yetu inatatizo kubwa Sana.
Hshahahahhahahahahaha......Umeme unakatika na Waziri mwenye dhamana inasemekana yeye sio nyaya za umeme.
Nchi yetu inatatizo kubwa Sana.
Mkuu jinsia yako ni Ke?, una asili ya Pwani kuanzia Tanga hadi Mtwara..?Nyie tumewazoea mkikaa Siku mbili bila kutaja jina Makamba hamlali vizuri
Toka jana saa 5 usiku umeme umekata ubungo mpaka naandika hapa saa 3 asubuhi hakuna umeme nini kipo sasa ambacho kipindi cha Magufuli hakikuwepo? Kwanini umeme uwe tatizo sasa hivi na hasa baada ya January kupewa uwaziri au mnataka afukuzwe kazi?Kuna hitilafu imetokea maeneo hayo wataalamu wetu wanaifanyia kazi huduma itarejea mapema asubuhi ya leo
Waziri wa mchongoToka jana saa 5 usiku umeme umekata ubungo mpaka naandika hapa hakuna umeme nini kipo sasa ambacho kipindi cha Magufuli hakikuwepo? Kwanini umeme uwe tatizo sasa hivi na hasa baada ya January kupewa uwaziri au mnataka afukuzwe kazi?
TANESCO
Tunafanyia kazi eneo husika tumegundua kuna waya ulikatika kwenye laini kubwa, tunawaomba radhi sanaToka jana saa 5 usiku umeme umekata ubungo mpaka naandika hapa hakuna umeme nini kipo sasa ambacho kipindi cha Magufuli hakikuwepo? Kwanini umeme uwe tatizo sasa hivi na hasa baada ya January kupewa uwaziri au mnataka afukuzwe kazi?
TANESCO
Rudi kipindi cha MagufuliToka jana saa 5 usiku umeme umekata ubungo mpaka naandika hapa saa 3 asubuhi hakuna umeme nini kipo sasa ambacho kipindi cha Magufuli hakikuwepo? Kwanini umeme uwe tatizo sasa hivi na hasa baada ya January kupewa uwaziri au mnataka afukuzwe kazi?
TANESCO
Ndio anataka awe raisi wa baadaeNchi ipo gizani waziri anatafuta publicity kwa kuingia mikataba na wahindi, bla bla nyingi utendaji kazi zero. Miezi 4 tangu January ateuliwe umeme umekatika jumla ya siku 28 na masaa 8 mpaka sasa hivi ninanyo andika
Anakwambia "sukuma gang" Hadi tuje tushtuke sio Leo wala keshoUmeme unakatika na Waziri mwenye dhamana inasemekana yeye sio nyaya za umeme.
Nchi yetu inatatizo kubwa Sana.
Itafika hatua hata waasisi wa neno "sukuma gang" na wafuasi wake watammiss Mzee, only time will tellNi ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya uteuzi wa January Makamba kama Waziri wa Nishati.
Uteuzi wako ulifuatiwa na uamuzi wa wewe kuvunja bodi ya Tanesco kisha kuingia mkataba wa bilioni 63 za kitanzania kwa madai ya kuboresha mfumo, mfumo ambao wewe hukuwahi kujua mapungufu yake wala uimara wake ila ghafla ndani ya mwezi mmoja tu tokea uingie ofisini unavunja bodi na kuingia mkataba wa mabilioni ya shilingi na kibaya zaidi hatua hizo zilifuatiwa na ukatikaji wa umeme nchi nzima.
Tanesco wakatoka na kauli kwamba hakuna mgao bali ni magengenezo ya kawaida, Waziri ukasema ni kwa wiki mbili tu leo ni zaidi ya miezi mitatu umeme haumalizi siku bila kukata, Je Mh January uliteuliwa ili ukasimamie zoezi la ukataji wa umeme?
Hao huwaambii kitu, kila hoja itapingwa na kauli ya "sukuma gang"Fichaga uchoko ww mtu analeta hoja yenye mashiko unaleta ngonjera za sukuma gang? Kitobo kweli ww
Sukuma gang mnajipa faraja. Poleni sana, Makamba is there to stay. Kasage wembe unywe Kisha ufeItafika hatua hata waasisi wa neno "sukuma gang" na wafuasi wake watammiss Mzee, only time will tell
Kuna mambo mengi yanaendelea nchini yanakera. Watu watakufa na msongo wa mawazo na pressure.Ni ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya uteuzi wa January Makamba kama Waziri wa Nishati.