nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 4,587
- 7,163
Mbona umeme umeanza kusumbua baada ya yeye kuteuliwa?Sijui kwa nini watanzania tunapenda kuscapegoat watu. Sasa January kaondoka, umeme umekuwa wa uhakika ghafla?
Tukubali na tuelewe kuwa tuna gap kubwa sana la miundombinu ya umeme kuanzia generation, transmission hadi distribution na solution ni strategic investment ya hela nyingi sana ambazo hatuwezi kuwa nazo kwa mara moja.
JNHPP wanayosema itatatua shida ya umeme haitomaliza shida za transmission na distribution. Na pia kwa ukuaji wa demand hizo 2100MW zitakuwa occupied tayari by in 3 to 4 yrs at most.
Mpaka tuwe na infrastructure ya uhakika ya umeme, tutahamisha lawama kwa mtu hadi mtu mpaka kiama kifike.