January Makamba: Sikuhusika katika mchakato wa utungwaji wa Sheria ya makosa ya Mitandao kwa sababu nilikuwa Naibu Waziri Mawasiliano

Nilidhani January Makamba anajua vizuri suala la uwajibikaji wa pamoja, hakupaswa kujiweka kando kwenye hili. Yaani washiriki wote wizarani kuanzia wataalamu hadi waziri, halafu yeye wasimshirikishe, no hapana.

Itukumbushe historia ya Adamu na Eva kule kwenye bustani, mwisho wa siku wote walipata adhabu.

Njia pekee ya kuonyesha hukubaliani na wenzio ni kujiuzulu, kinyume cha hapo unatuonyesha unafiki.
 
Hawa watatu yaani Mwigulu, Nape na January wamejilipua kwa style hiyo..

Kuna kila dalili kuna wengine watakuja na watajilipua zaidi..

Upepo unaonyesha wengi hawakubaliani na mambo yanavyoendeshwa serikalini.
Wao sio wenye chama,ni manokoa wadogo tu.
Sio mara ya kwanza kutokea mvutano wa makada ndani ya CCM.
Mara zote wenye mamlaka huibuka washindi.
 
Tutaona Mengi ila internet haisahau
IMG_20190219_214822.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Ni heri aendelee huyu huyu kuliko aje mungine aachie mihazara ya kidini watu wanatukanana kama siyo binadamu.
 
Nishushe bro. Ile sheria mjadala wake ulihitimishwa usiku ninakumbuka namna ulivyokuwa unapambana kupangua hoja za Lissu na Mnyika. Please twendeni mdogomdogo.
 
Kusema hivi ina maana ni sheria mbaya! kwa nini hakuonyesha kuipinga? sasa ni nn kifanyike
 
Back
Top Bottom