January Makamba: Neno la mwisho kwenye hili...

Naona hadi DP kabadilisha na kuamua kuunga juhudi. Huwezi mchezea masharubu Amiri jeshi mkuu.

Na JPM ni Political Science yule sio mwana siasa.

Anajua kucheza na calculated risk.

Muulize Lowasa na Membe 2015. Waulize ACCACIA. Waulize na wengine n.k.

Nakupenda TZ nakupenda Rais Wangu.
Hiyo profile picture anayo toka 2015

Acha kumlisha maneno mtoto wa watu mzee
 
Pesa za wizara uliyo simamia upotevu wake mbona uongelei?
Soon naandika Makala hiyo

Pili ninyi ndo mlimuamini Magufuli,
Nape kafunga bunge
Ukiwa boss TCRA ukapitisha sheria ya hivyo, ona na wewe unadukuliwa

Dah!!

Mkuu, naona huyu kakutibua.

:oops::oops:
 
TUAZIME TENA HEKIMA YA WANYAMBO

"Nyani asiyekomaa bado (mchanga), huangua kicheko aonapo msitu ukiteketea". Kwa uchanga wake huwa hajiulizi usiku atalala wapi?

"Mtoto mtundu aliyezoea kutukana watu wazima, huwa haishii kwa mmoja".

Tumesikia mengi ya sirini. Hatukupaswa kuyasikia. Nini kinafuata?

1. Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia hospitali. Majipu yetu, damu zetu, mikojo yetu, mate yetu, na vinyesi vitaanikwa!

2. Mikopo yetu na bill za baa za bar zisizolipwa zitajukikana. Usisahau mkopo wa nyama wa mwaka jana wakati sasa unakula kisamvu!

3. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena maana vitaanikwa. Bajameni, acheni kuwasumbua kwa simu watubishaji wenu. Hawana uhakika tena wa kutunza mambo yenu.

4. Kama wana siri hizo, hata "password" za ATM hazina haja tena. Akiba zetu ni akiba zao. Kukwapua mikoba hakufai tena, watu wanachukua wanachopenda kwa kuwa wanamiliki siri zetu.

Bi Kidude hata kama hakuwa Mnyambo, aliwahi kusema "Kunambia siri kisha ukasema nisimwambie mtu, mie siwezi kwa sababu hata wewe umeshindwa kutunza ukaniambia mimi".

Tumejiruhusu kuona "uchi wa mama zetu", acha tupatwe na upofu!!
 
Hao aliowataja (Makamu na PM) huenda wamemwambia apotezee tu. He is still young kwenye politics na anaweza akaibuka siku zijazo. JMakamba ana siri kubwa hasa kwa yaliyojiri Oct 2015. Akianza kurelease moja baada ya nyingine, hakutakalika. I think pia hata zile clips wanazorelease akina Musiba hazitatoka tena
fact
 
Naona hadi DP kabadilisha na kuamua kuunga juhudi. Huwezi mchezea masharubu Amiri jeshi mkuu.

Na JPM ni Political Science yule sio mwana siasa.

Anajua kucheza na calculated risk.

Muulize Lowasa na Membe 2015. Waulize ACCACIA. Waulize na wengine n.k.

Nakupenda TZ nakupenda Rais Wangu.

You wish eeeh!
 
Hao aliowataja (Makamu na PM) huenda wamemwambia apotezee tu. He is still young kwenye politics na anaweza akaibuka siku zijazo. JMakamba ana siri kubwa hasa kwa yaliyojiri Oct 2015. Akianza kurelease moja baada ya nyingine, hakutakalika. I think pia hata zile clips wanazorelease akina Musiba hazitatoka tena
Acheni uongo.Siri zipi ambazo na yeye hatofungwa?Km ni wizi wa kura nae alikuwa sehemu yake. Anyooshe mikono tuu na kiburi iishe.
 
TUAZIME TENA HEKIMA YA WANYAMBO

"Nyani asiyekomaa bado (mchanga), huangua kicheko aonapo msitu ukiteketea". Kwa uchanga wake huwa hajiulizi usiku atalala wapi?

"Mtoto mtundu aliyezoea kutukana watu wazima, huwa haishii kwa mmoja".

Tumesikia mengi ya sirini. Hatukupaswa kuyasikia. Nini kinafuata?

1. Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia hospitali. Majipu yetu, damu zetu, mikojo yetu, mate yetu, na vinyesi vitaanikwa!

2. Mikopo yetu na bill za baa za bar zisizolipwa zitajukikana. Usisahau mkopo wa nyama wa mwaka jana wakati sasa unakula kisamvu!

3. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena maana vitaanikwa. Bajameni, acheni kuwasumbua kwa simu watubishaji wenu. Hawana uhakika tena wa kutunza mambo yenu.

4. Kama wana siri hizo, hata "password" za ATM hazina haja tena. Akiba zetu ni akiba zao. Kukwapua mikoba hakufai tena, watu wanachukua wanachopenda kwa kuwa wanamiliki siri zetu.

Bi Kidude hata kama hakuwa Mnyambo, aliwahi kusema "Kunambia siri kisha ukasema nisimwambie mtu, mie siwezi kwa sababu hata wewe umeshindwa kutunza ukaniambia mimi".

Tumejiruhusu kuona "uchi wa mama zetu", acha tupatwe na upofu!!
Fact
 
Sasa atapata muda mzuri wa kulipa deni lake alilokopa kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii
 
January bana!alipopata taarifa ya kutenguliwa alitoa picha anacheeeeka sana
Leo hata hakuhudhuria uapisho kuonesha kuwa ana kinyongo,
Nenda ukatete vizuri na baba yako.huko kijijini
 
Baada ya kufurushwa jana January angeongea zaidi baadae. Kauli hiyo iliwafanya watu kudhani atafanya press conference. Lakini leo akiwa nyumbani kwao Bumbuli, ameamua kufunga mjadala huo kwa kutoa neno la mwisho. That means hataongea tena kuhusu suala la yeye kufurushwa.!View attachment 1159574

Hivyo kwenye siasa hakuna kukabidhi ofisi (Handing Over Note)?! Au hii ndiyo handing over note?
 
Back
Top Bottom