January Makamba, Nape Nnauye, kulikoni?

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.

Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.

Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.

Kila la kheri kwenu
 
Back
Top Bottom