January Makamba: Kwa asilimia 90 nitajitokeza kugombea urais 2015

Asema hakuna haja ya kuharakisha mchakato huo sababu wananchi wanahitaji katiba bora. Amesema ni muhimu mchakato uhairishwe ili ufanyike kwa ubora zaidi.

Jambo la msingi ni kufanya mabadiliko yatakayotuletea uchaguzi huru na wa haki ikiwa ni pamoja na tume huru ya uchaguzi na kukata rufaa ya matokeo ya uraisi.

Amesema baada ya kujitathmini na kufanya uamuzi kwa 90% yupo tayari kugombea urais kwa kuwa nchi inahitaji kizazi kipya kitakachokabiliana na changamoto za karne ya 21.

Source: BBC Swahili (star tv saa tatu usiku)

----------------------------

UPDATE:-

jimbo lake nalitaka mimi afadhali nami pia anipishe nami nipate ulaji, ubunge raha mgosi wa ndima;;;;;;; ke
 
Last edited by a moderator:
Asema hakuna haja ya kuharakisha mchakato huo sababu wananchi wanahitaji katiba bora. Amesema ni muhimu mchakato uhairishwe ili ufanyike kwa ubora zaidi.

Jambo la msingi ni kufanya mabadiliko yatakayotuletea uchaguzi huru na wa haki ikiwa ni pamoja na tume huru ya uchaguzi na kukata rufaa ya matokeo ya uraisi.

Amesema baada ya kujitathmini na kufanya uamuzi kwa 90% yupo tayari kugombea urais kwa kuwa nchi inahitaji kizazi kipya kitakachokabiliana na changamoto za karne ya 21.

Source: BBC Swahili (star tv saa tatu usiku)

----------------------------

UPDATE:-

jimbo lake nalitaka mimi afadhali nami pia anipishe nami nipate ulaji, ubunge raha mgosi wa ndima;;;;;;; kuzeze mgosi
 
Last edited by a moderator:
Ajitokeze hata kwa 200% uamuzi uko mikono kwa watanzania kama hafai atapigwa chini
 
Makamba bado ameendelea kuumiza vichwa vya kina Lowasa, slaa na wazee wengine wenye malengo ya kugombea urais mwakani, hii ni baada ya kuona sapoti kubwa anayoipata makamba kutoka kwa makundi ya atu mbalimbali vijana, wazee, wanawake, viongozi wa dini, viongozi wastaafu na watanzania walio wengi kwa ujumla.

Hii ni ishara nzuri kwa makamba, kama ataandelea kupata sapoti hii ya watanzania, kuna uwezekano mkubwa wa kuwabuluza wapinzani wake ndani ya ccm kina lowasa,membe nk, na hata kina slaa na mbowe wa chadema katika uchaguzi mkuu 2015
 
Makamba Jr kajipanga sana kila siku anazidi kupata uungwaji mkono wa hali ya juu, kutoka kwa makundi mbalimbali ya watanzania
 
makamba bado ameendelea kuumiza vichwa vya kina lowasa, slaa na wazee wengine wenye malengo ya kugombea urais mwakani, hii ni baada ya kuona sapoti kubwa anayoipata makamba kutoka kwa makundi ya atu mbalimbali vijana, wazee, wanawake, viongozi wa dini, viongozi wastaafu na watanzania walio wengi kwa ujumla.

Hii ni ishara nzuri kwa makamba, kama ataandelea kupata sapoti hii ya watanzania, kuna uwezekano mkubwa wa kuwabuluza wapinzani wake ndani ya ccm kina lowasa,membe nk, na hata kina slaa na mbowe wa chadema katika uchaguzi mkuu 2015

january uyo!! Anapendeza kuwa rais
 
Asema hakuna haja ya kuharakisha mchakato huo sababu wananchi wanahitaji katiba bora. Amesema ni muhimu mchakato uhairishwe ili ufanyike kwa ubora zaidi.

Jambo la msingi ni kufanya mabadiliko yatakayotuletea uchaguzi huru na wa haki ikiwa ni pamoja na tume huru ya uchaguzi na kukata rufaa ya matokeo ya uraisi.

Amesema baada ya kujitathmini na kufanya uamuzi kwa 90% yupo tayari kugombea urais kwa kuwa nchi inahitaji kizazi kipya kitakachokabiliana na changamoto za karne ya 21.

Source: BBC Swahili (star tv saa tatu usiku)

----------------------------

UPDATE:-

Mwanaume wa kweli uyo January Makamba classic leader
 
Last edited by a moderator:
hatutaki rais kijana
tunataka mzee mwenye mawazo ya kileo

wazee ving'ang'anizi shost kama mugabe tukiwapa urais watabadilisha katiba kila siku wajiongezee muda wa kutawala ili wafie madarakani

wazee wengine wagonjwa kama Lowasa anaweza asimalize hata mwaka mmoja ikulu tukaitisha Tanzia, si unajua gharama ya kuhandle msiba wa kitaifa hasara iyo shost

Team Makamba
 
Back
Top Bottom