January Makamba kukopa $10 mil. kwa ajili ya Bumbuli

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Moja ya mikakati ya January Makamba ni kwenda kukopa karibu $10 milioni kwa ajili ya kuikomboa Bumbuli.

Sasa, hii ndio kazi ya Mbunge kweli? Au ndio mwanzo wa kuuza jimbo lake kwa Wall Street Philanthropists?

=======
ARTICLE NZIMA:

THE parliamentary campaign in Bumbuli, a constituency of 167,000 souls in the mountainous Lushoto district of Tanzania, is a mixture of ancient and modern. January Makamba, the candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), stands for the modernists. In designer shirt and shoes, he hikes half way up a mountain to a remote village to solicit votes. The villagers are demoralised, with no electricity or road and a poor crop. Down below, a volunteer updates Mr Makamba's Facebook page on a wireless internet connection.

Within the CCM, Mr Makamba is in a minority. Educated in the United States, the son of a CCM power broker, he recently quit his job as a speechwriter for Tanzania's president, Jakaya Kikwete, to run in Bumbuli. He wants Tanzania to enter the world market. He hobnobs with Western philanthropists. A copy of “The Rational Optimist”, a booster of global capitalism, lies on the back seat of his campaign truck.

But now he must prove himself on the ground. He showed his steel by ousting a long-serving CCM parliamentarian. It helps that he comes from the main town, Lushoto, and lived there as a boy. Up in the village he promises fertilisers, medicine, more teachers. Electricity? No, too costly.

Bumbuli is among Tanzania's most densely populated constituencies. Most of its people farm tiny plots too small to be subdivided further. But Mr Makamba has a plan. He wants to borrow $10m from Wall Street philanthropists, to be repaid in ten years. The sum, he says, will be invested in east African treasury bonds and stocks, in the hope of dividends producing $700,000 a year to invest in Bumbuli.

Some of the cash would help farmers package their fruits and vegetables. Mr Makamba dreams of refrigerated lorries owned by the community leaving daily at dawn for Dar es Salaam and Nairobi with “Fresh from Lushoto” produce. Another project aims to parcel a scenic bit of the constituency and sell it to a university to set up a campus for 5,000-odd students. Turkish investors, he claims, are interested.

It is early days, but a youthful tilt at the presidency in 2015 by Mr Makamba, or someone like-minded, is conceivable. If he took Tanzania's helm, the country might sail ahead. As it is, its economy has been breezing along at 6% this year, faster than Kenya's to the north, yet it still feels slothful by comparison. It has been sliding downwards in the rankings as a spot for investors. Corruption is rife. Crime is up. Dubious businessmen enjoy positions of influence in the ruling party.

Though he has failed to fulfil his early promise, President Kikwete will almost certainly get another five years in the job. Fond of technology and foreign travel, he is known among his ministers as “Mr Beep” for his habit of texting them to show he cares. But he has seemed wary of radical reform. He is sentimental about Tanzania's socialist past. Most foreign aid-givers, on whom the country still depends for half its budget, are still prepared to give him the benefit of the doubt.

In his expected second term, Mr Kikwete is likely to promote gas exploration in the south, expand mining, and try, as ever, to improve services. “Despite a tripling in the education budget, large majorities of children remain illiterate and innumerate,” says Rakesh Rajani, a Tanzanian who has researched the performance of primary schools. The country still has far fewer skilled workers than neighbouring Kenya.

The opposition may do a bit better than before but is fragmented. Moreover, the army, which thinks it is must protect the ruling CCM, has tried to bully it—and independent journalists. Two opposition parties stand out. Chadema is strong among richer smallholders, most of whom belong to the Chagga people around Mount Kilimanjaro. The Civic United Front is backed by quite a few Muslims on the coast and in the autonomous island of Zanzibar.

But they are too weak to topple the all-powerful CCM. Mr Kikwete and Tanzania will gently potter along. If the likes of Mr Makamba managed to take over the CCM, things might pick up a lot faster. But not, it seems, just yet.

CHANZO: :Tanzania's election: Promises, promises | The Economist
 
Theoreticaly Wazo lake ni zuri na nimelipenda

lakini cha kujiuliza na dukuduku langu

  • kama mtu aliyekuwa karibu na watendaji wakuu serikalini na mwenye connection kwa nini hakuliuza hili wazo?
  • Je alijaribu kumshauri mbunge aliyepita au waziri husika katika serikali iliyopita?
  • Nani atamdhamini katika huu mkopo?
Itakuwa ajabu akipewa hata huo uwaziri ndani ya miaka mitatu tushindwe kuona haya aliyoyasema.

Otherwise its a very nice Idea but i dont know if it can work in a corrupt system
 
Mkopo ni USD 10 M, atauweka kwenye masoko ya hisa ya E.A na kupata gawio la USD 700,000 kwa mwaka kweli?? na pia anatakiwa kuulipa kwa miaka 10, je kuna riba yoyote..? na ataanza kulipa baada ya muda gani? kama hakuna riba(jambo ambalo silitegemei ) anatakiwa kulipa USD 1 M kwa mwaka., kwa maana hiyo atakuwa na USD 300,000 pungufu kwenye kukarabati mkopo wake sio,...?? This is a gimmick...,too political..!
 
Atafikaje kukopa wall Street hizo $10 million wakati amekwisha kuwa branded "TERRORIST"!!Hawezi kupewa visa ya marekani kwani ni "GAIDI"!!
 
Du mimi sijauona mchanganuo wa biashara anayotaka kufanyia hizo hele,Matarajio yake kimapato uko vipi,Sijui amekopa kama Mbunge wa Bumburi ama kama january makamba,Ila akibugi kwenye matarajio inaweza kula kwake.
 
tatizo la Januari makamba ni kuwa huo mradi wake gharama zake zinazidi faida hivyo hauendesheki hata kidogo ......huwezi ukafikiria kuingia ushindani wa soko la dunia na matunda ya kusafirishwa kwa malori yenye vipooza hewa bila ya kutafakari kama biashara hizo ni endelevu..........matunda yetu ubora wake ni wa chini hatuweza kumudu ushindani wa soko la dunia...na bei ikipanda hakuna wanunuzi hata hapo Dar...kwa sababu kuna ushindani kutoka matunda hayo hayo yanayozalishwa maeneo mengine ndani ya nchi au mazao mbadala....yeye ni mwepesi kusema atakopa lakini hatuelezei mtaji wa dhamana unatoka wapi.................angelizungumzia viwanda vya kusindika matunda ningelimwelewa lakini hili lake ...................................just unsustainable............labda litamsaidia kuwarubuni wapigakura wa Bumbuli waendelee kumwogopa wasimwekee mpinzani na aendelee kupita bila ya kupingwa................
 
Atafikaje kukopa wall Street hizo $10 million wakati amekwisha kuwa branded "TERRORIST"!!Hawezi kupewa visa ya marekani kwani ni "GAIDI"!!

source pls inayothibitisha makamba kuwa branded terrorist!
 
Mkopo ni USD 10 M, atauweka kwenye masoko ya hisa ya E.A na kupata gawio la USD 700,000 kwa mwaka kweli?? na pia anatakiwa kuulipa kwa miaka 10, je kuna riba yoyote..? na ataanza kulipa baada ya muda gani? kama hakuna riba(jambo ambalo silitegemei ) anatakiwa kulipa USD 1 M kwa mwaka., kwa maana hiyo atakuwa na USD 300,000 pungufu kwenye kukarabati mkopo wake sio,...?? This is a gimmick...,too political..!
Gawio(devidend) inapatikana baada ya kutoa matumizi yote,hiyo dola 700,000 ni baada ya riba.
 
Angekuwa anafanya kwenye investment bank au hedge fund nisingeshangaa, lakini kwa speechwriter ku raise dola milioni 10 kutoka Wall Street lazima atakuwa na kipaji.
 
Gawio(devidend) inapatikana baada ya kutoa matumizi yote,hiyo dola 700,000 ni baada ya riba.

Unachanganya mambo, yeye anakopa Wall street na ata-invest East Africa, dividends atapewa kutokana na investment zake hapa EA ambapo anatakiwa atumie sehemu ya hizo ku-service mkopo. sasa swala matumizi linatokea wapi? yeye atapewa dola 700, 000 wakati costs zimeshakatwa. Issue hapa ni kwamba January kasoma history, peace and conflicts management haya mambo ya investment analysis yamempita mbali, lakini poa kaweza kuwadanganya wenzake wa bumbuli huko wamempa shavu, lakini huo upupu wake wa kutaka kuwa Rais wetu kwa mipango hewa kama hii aishie hukohuko bumbuli!
 
I think the article is too general and looks like its too politically motivated.. but if am to give him the benefit of the doubt' ntampa muda nione km na yeye sio km wengine wa chama chake!!
 
Mimi jamani concern yangu ni moja tu, embu tu-assume wazo lake ni zuri, hivi COLATERAL SECURITY ya huu mkopo ni nini?....January anataka kuwauza watu wa bumbuli eeh? yasije yakajirudia mambo ya Chief Mangungu wa usagara alivyowauza watu wake kwa Karl Peters!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom