Kama mtu alivyosema hapo juu the article is too general.Dola milioni10, kulipa kwa miaka 10 kwa gawio la dola 700,000 kama ni kosa JM asingeshindwa kuliona.Nime assume ana kopa kama kampuni,hiyo kampuni ndiyo itakayompa devidends.Unachanganya mambo, yeye anakopa Wall street na ata-invest East Africa, dividends atapewa kutokana na investment zake hapa EA ambapo anatakiwa atumie sehemu ya hizo ku-service mkopo. sasa swala matumizi linatokea wapi? yeye atapewa dola 700, 000 wakati costs zimeshakatwa. Issue hapa ni kwamba January kasoma history, peace and conflicts management haya mambo ya investment analysis yamempita mbali, lakini poa kaweza kuwadanganya wenzake wa bumbuli huko wamempa shavu, lakini huo upupu wake wa kutaka kuwa Rais wetu kwa mipango hewa kama hii aishie hukohuko bumbuli!
Mimi jamani concern yangu ni moja tu, embu tu-assume wazo lake ni zuri, hivi COLATERAL SECURITY ya huu mkopo ni nini?....January anataka kuwauza watu wa bumbuli eeh? yasije yakajirudia mambo ya Chief Mangungu wa usagara alivyowauza watu wake kwa Karl Peters!
ha haaa haaaa haaaa hee heeeeeheeeee eeeeeharafu huyu jamaa atakuwa ni primitive sanaHahitaji colateral yeyote. Atawa- threat tu wampe mkopo. Hujui January Makamba aka Ernesto Sheka ni bingwa wa kutisha watu (remember threats to Lisa Rockefeller.) Akishindikana atawaambia ameahidiwa uwaziri na Baba yake (yule pimbi katibu mkuu wa CCM.) Nafikiri hio itawalainisha na mkopo watatoa :smile:
Mimi jamani concern yangu ni moja tu, embu tu-assume wazo lake ni zuri, hivi COLATERAL SECURITY ya huu mkopo ni nini?....January anataka kuwauza watu wa bumbuli eeh? yasije yakajirudia mambo ya Chief Mangungu wa usagara alivyowauza watu wake kwa Karl Peters!
Moja ya mikakati ya January Makamba ni kwenda kukopa karibu $10 milioni kwa ajili ya kuikomboa Bumbuli. Sasa hii ndio kazi ya Mbunge kweli? Au ndio mwanzo wa kuuza jimbo lake kwa Wall Street Philanthropists?
Tanzania's election: Promises, promises | The Economist
Kazi ya mbunge sio kufadhili jimbo, na mbunge sio mfadhili, hapa inakuwaje jamani. Miaka yote leo ndio anaona akakopeMoja ya mikakati ya January Makamba ni kwenda kukopa karibu $10 milioni kwa ajili ya kuikomboa Bumbuli. Sasa hii ndio kazi ya Mbunge kweli? Au ndio mwanzo wa kuuza jimbo lake kwa Wall Street Philanthropists?
Tanzania's election: Promises, promises | The Economist
Atalipa tu, huyu ndiye Waziri wa nishati na madini kwenye serikali ya awamu ya tano. Kuna waraka wa dada yake kwenda kwa wamiliki wa migodi!Du mimi sijauona mchanganuo wa biashara anayotaka kufanyia hizo hele,Matarajio yake kimapato uko vipi,Sijui amekopa kama Mbunge wa Bumburi ama kama january makamba,Ila akibugi kwenye matarajio inaweza kula kwake.
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza mkuuKakopa, hivyo ina maana atarudisha na si msaada au?
January Makamba ni story teller...anawaona watanzania wote ni watu waliolemewa na usingizi na kama ujuavyo, 'sinzia ni tamu kuliko lala'.kazi ipo ...huyu January ikifika June bado wazii basi hafukuzwi tena