January Makamba kiongozi mwenye uzalendo licha ya kuwepo CCM

Kawa Naibu waziri hio hoja yake imekufa, yapo mambo mengi ya msingi zaidi ya kupeleka bungeni kama tatizo la umeme na Mikopo kwa wanafunzi na kuinua elimu na afya. mambo ya nyumba acha soko lipange bei,
 
Kwa kweli hili ni tatizo kwa Tanzania nzima na tena sehemu kama zilikuwa wilaya ,zikitangazwa tu ni mikoa ndio hapo mtakapokoma ,bei za nyumba zawa juuuuuuuuuuu,utaratibu mzuri uwekwe na serikali kwa kushirikiana na shirika la nyumba Tanzania,na waweke sheria zitakazowabana wenye nyumba,pia Shirika la nyumba Tanzania liendelee kujenga nyumba kwa kasi katika mikoa yote Tanzania.
 
January Makamba, ni Mbunge Kijana kama walivyo wenzake akina Zitto,Mnyika Kafulila,Nassari,Mdee, Tundu Lissu, Filikunjombe, na wengine wale Damu mbichi pamoja January yupo chama cha baba yake Mzee Yusuph lakini kama mtoa hoja alivyo sema ngoja tumpe Support ayaamshe Magamba yanayolala bungeni kama S Wassira kazi kupiga makofi meza na kuchuna Vanishi ya meza zetu pale mjengoni Dodoma kijana huyu yupo makini anakwenda na wakati uliopo ana Ofisi inayo panga kuleta maendeleo kwa wana Bubuli (BD)sio kuangalia Masilahi ya chama kandamizi na maisha mabovu kwa wananchi wa wtz yanayotukabili kila siku.
 
Back
Top Bottom