January makamba for presidency....... Iam opposition member but i will vote for him!!!

Nahisi harufu ya ban, tembea kawekewe gunzi gunzi Uraisi sio urithi wala mafao ya baba zenu kwamba wakifa mpate hata kama ni watoto haramu wa nje ya ndoa.
 
Ungekuwa umeandika usiku ungedhaniwa kuwa unaota. Kamwambie kakutuma msimu mbaya!
 
AL-HAJ MAKAMBA KARIBU MAGOGONI KWA KUWA SAFARI HII WEWE NDIWE 'CHAGUO LA MUNGU' KUOKOA TAIFA LETU KUPITIA TEHRAN

Mkuu hebu tueleze vizuri kwani huyu shujaa wako yeye ndiye chanzo cha utekaji wa Dr Ulimboka au hadi ukajaribu kupenyeza topiki yake kwa nguvu kiasi hiki kwa kutaka kutupoteza malengo na hoja ya msingi kote nchini au kwenu swala la Dr Ulimboka nalo 'ni upepo tu unapita eehh' ?

Je karibia wiki inapita sasa, huyu Alhj Makamba anahojiwa lini sasa kama kumbe ndiye mwenye ujumbe uliomwendesha Dr Ulimboka kwenda Msitu wa Pande?????

Go ahead vote for him for presidency ili Mikataba ya Magogoni na Tehran ipate kuwa 'katika mikono salama' kwa miak mingi nyingine tena huko baadaye kwa kuwa hilo ndilo lengo kuu la CCM-Kikwete kwa sasa na wala si maendeleo ya nchi.

Kila senti inayopotea kushoto kulia si kwa ajili ya kutuletea maendeleo bali ni kwa ajili ya kutumika kunawirishia UFALME WA BAADAYE utakaoweza kuendeleza malengo ya Iran nchini kwa kipindi kirefu zaidi.

Mkuu mpaka hapa ukae ukijua kwamba 'kipofu mlalahoi wa Tanzania tayari tumeshastuka mikono kugongana kwenye bali la nyama' na kitendo cha kukuta supu tupu bila minofu mle sote hdi hivi sasa tunajua fika kinachoendelea ingawaje wengine itawachukua miaka kadhaa kidogo kujua mchezo wenu huo.


Iam opposition member but i will vote for him... Gooo makamba 2015!!!!
 
huna adabu kabisa wewe kijana,pesa za akina nape zitawaponza huu upuuzi peleka pale lumumba
 
Mungu wangu, mbona watu wengine wanawaharibia wengine siku?thread zingine ziwe zinachujwa kwanza
 
Huu Upuuzi wana andikagga Facebook sio Hapa..nita Hack icho. Ki A/c chako nikitupilie Mbali

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
karibu jukwaani! bwana fundikira ! post yako ya kwanza unampigia debe JM
.....hahahahaha,,huyu dogo boya tu..kavamia humu...
Huyu Fundikira namjua mtoto si lisziki huyu atakuwa chakula ya JANUARY.
...duh..kweli unamjua...alikua SASATEL...akenda CLOUDS FM..akaenda ARUSHA...(kote huko kafukuzwa)...kuna kipindi alikua anshinda tu Samaki Samaki MBezi..anapigia debe EPIQ Nation...hana lolote
 
Mbona majina yao fundikila wana busara sana, lakini wewe namashaka kidogo labda huu mgomo wa Drs umeikumba hospital ya Mirembe pia, mpaka imetoroka, uwezi kuja kuleta hoja yako hapa bila kusema sababu zinazokufanya umuunge mkono jamaa yako.
 
mbona majina yao fundikila wana busara sana, lakini wewe namashaka kidogo labda huu mgomo wa drs umeikumba hospital ya mirembe pia, mpaka imetoroka, uwezi kuja kuleta hoja yako hapa bila kusema sababu zinazokufanya umuunge mkono jamaa yako.

makamba yes but this young man was born and brooded under the rotten system. We shouldn't trust any from the top bras of this genre.he ca not disentangle himself from the system that brought him up by any standards he will not make any remarkable change. Infact the system requires complete overhaul if we are to make any paces in the development arena
 
Hivi January ndo huyhuyu anayemiliki Voda shop ya Samora???? Alafu tujiulize na yeye kapata wapi utajiri wa ghafla maana mwajiriwa wa ikulu anaishi nyumba ya ghorofa bongo na miradi kibao si ndo ufisadi huu
 
Wewe ndiyo unamuharibia sasa. Na kama amekutuma kamambie mbinu hii si nzuri, au kama ni wewe mwenyewe hebu jitokeze wazi then watu watahojiana nawe kwa mantiki. Urais si wa kukubalika kwa mzaha mzaha wa namna hii.
 
Back
Top Bottom