January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
usitetee usichokijua. ili ujue nimesoma Galanos headmaster alikuwa kinala, second mistress alikuwa mama msemwa. matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo. Ninashangaa mtu anasema ni rumour ina maana mkuu wa shule alikuwa anazungumza kwa rumour? najua january nitamkamatia wapi. akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. hatuwezi kuongozwa na wezi wa pa

Saaaaafi sana...
Wale wafuatiliaji wa akina Vihiyo...tena toka kulekule 'waja leo' ...kihiyo mwingine kapatikana... ni JM! quick militia......sssssssaka...kamata!
Avue miwani ya kisanii...aungane na babaye, arudi akafundishe mashuleni...ila asiwape madem mimba kama Baba-mtu!
 
Mbona kwenye website yake hajaonyesha wenyeji wake USA walikuwa watoto wa Mzee William Shelukindo the former Bumbuli MP, na bila aibu akaanza kupoiga kampeni kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza na Mzee Shelukindo ALIPORIPOTI ccm Makamba alichuna bila kujibu wala kuact kuhusiana na tuhuma hzo.
 
Nadhani by then Yusuph Makamba alikuwa little known ndio maana hakuthubutu kuchukua hatua....nani angemsikiliza? In the 90's ubabe wa viongozi wa umma ulikuwa haujafika pabaya kama leo!!!!!
 
Ni kweli kabisa hata yeye mwenyewe JM amekubali katika hiyo web site yake lakini ametumia maneno ya kisiasa tu kulembalemba, I quote him " And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the te
http://www.google.com
 
Mkuu! are you serious? Hivi kweli JM alipokelewa na watoto wa Mzee Shelukindo kule USA? Kama ni kweli JM hana muda mrefu katika siasa lazima MUNGU atamuumbua tu! Kweli wema mtendee Punda ambaye unajua dhahiri atakupiga teke kuliko Binadamu ambaye utajidanganya kuwa atakulipa wema kumbe sio!!!
Mbona kwenye website yake hajaonyesha wenyeji wake USA walikuwa watoto wa Mzee William Shelukindo the former Bumbuli MP, na bila aibu akaanza kupoiga kampeni kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza na Mzee Shelukindo ALIPORIPOTI ccm Makamba alichuna bila kujibu wala kuact kuhusiana na tuhuma hzo.
 
lol. Divine comedy. Daamn!

It is what it is Braa. Popularity contest or not. The beauty of anonymity in these online hating tanks, is you are allowed to do just that, hate. It is amazing how can folks in here be content with themselves. Content at their intellectual dishonesty just because they are in front of kioo expressing their anonymous duties.

Ahh kwani, sio ishu. Let me chill with my chalwa baana. Nyie virtual people endeleeni kudiscuss hypotheticals.

We andika Kiswahili tu, Nyerere was right.
 
Pamoja na utetezi wa JM mwenyewe na wapambe wake bado ukweli unabaki ali cheat paper. maelezo ya blog yake ni uongo kwa sababu zifuatazo. kwanza kama kulikuwa na makosa wanafunzi tungetangaziwa tena au tungepata taarifa. pili matokeo yake yangerudishwa. tatu huyo aliyefanya cheating wakadhani ni makamba matokeo yake yangefutwa. nne hata kama makamba hakupata credit ange retain cheti ya form four ndio arudie baadhi ya masomo. mtu mwenye historia ya cheating ataendelea kuwa cheat. unampeleka bungeni atatete
Google
 
JM, mbali ya kurekebisha matatizo ya tungo ya liokosolewa na wana JF, wape credit wenyeji wako wa asili ya kibongo waliokutoa vumbi, hata kwa majina washukuru, tafadhali. Je umeishapata producer wa kuandaa documentary yako? Pia kuwa makini na suala zima la kuiba mitìhani. Kwa manufaa yako ya kisiasa anika kila kitu hadharani badala ya kuficha ukweli. Usipofanya mapema utaumbuliwa
 
whoever started this got issues....unajua kikwetu tunasemaje?.."Alikwina"...siku zote ulikuwa wapi unakuja na uzushi huu leo...acha kushabikia kivuli dogooooo!.....Move over...
 
whoever started this got issues....unajua kikwetu tunasemaje?.."Alikwina"...siku zote ulikuwa wapi unakuja na uzushi huu leo...acha kushabikia kivuli dogooooo!.....Move over...
Siku zote alikuwa wapi? minding his own biz..wewe ulitaka ailete lini? unamlipa mshahara au kumlipia broadband?
 
Ingia hapa usome kilichotokea, instead of smearing nasty rumors babu. January Makamba.com

"Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded."

Haya ni maneno ya makamba inaonyesha anazungumzia tu propaganda za kawaida, kama kuna mtu anafikiri si kweli aliiba mtihani basi atupe cheti chake kama si cha kuchakachua.
Hivi mbona CCM ni kila mtu kachafuka.
 
whoever started this got issues....unajua kikwetu tunasemaje?.."Alikwina"...siku zote ulikuwa wapi unakuja na uzushi huu leo...acha kushabikia kivuli dogooooo!.....Move over...


Huo ndio ukweli, jamaa kaiba mtihani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom