January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
167117_152062674849701_100001379073127_259983_1679270_n.jpg
 
Nashukuru kuna mtu ameshangaa uwezo mdogo wa lugha ya kiingereza wa huyu ndugu yetu. Mimi nilishangaa sana kuona kilichoandikwa kwenye blog yake kupitia kwa michuzi lakini nikadhani ni elimu ndogo tu ya michuzi kakosea, nilivyoenda kwenye hiyo page nikasema ndio maana, matokeo ya kubebana ndio hayo ndio maana tunasema nchi hii haina role models kwa mambo ya kulazimisha. Kwa sasa hata naposikia hizi scam za wizi wake wa mitihani sishangai kabisa kabisa, na hivi ni nani angemsingizia katika shule inayoeleweka kama Galanos. Shule hii imezalisha vichwa wachapa kazi wako huko kwenye system wanafanya makubwa japo serikali haiwaoni. Kulazimisha acha wana bumbuli wahangaike nae hilo swala la sms hakuna lolote zaidi ya ufisadi wao kupitia kw adada yake Mwamvita na fadhila za RA za msimu, utaona kama litadumu, kizazi cha najisi kitabaki hivyo hivyo kulazimisha kusikowezekana. sms bure so what? angekua wa maana wangesimamia hao voda na mitandao mingine waache kuwanyonya watanzania, wamekula wameshiba sasa anatujambia ushuzi na sisi tunafurahia tunaona perfume. Muulizeni amepewa pewaje duka la voda la pale ohio? ambalo kwa sasa huduma zake hazionatofauti na kiosk cha kijijini? msibabaishwe na hao wanaouliza evidence hivi huyo aliyekwambia na hayo maandishi yake mwenyewe ya kujitetea hayatoshi na kuzidi mahitaji ya evidence? Hivi huyu kweli alifaa kumwangusha Shelukindo? Huyu huyu huyu tunayemjua na anayeshinda usiku na mchana na wakina RA?
 
This is 'divine comedy'.

Good for popularity contest though.

lol. Divine comedy. Daamn!

It is what it is Braa. Popularity contest or not. The beauty of anonymity in these online hating tanks, is you are allowed to do just that, hate. It is amazing how can folks in here be content with themselves. Content at their intellectual dishonesty just because they are in front of kioo expressing their anonymous duties.

Ahh kwani, sio ishu. Let me chill with my chalwa baana. Nyie virtual people endeleeni kudiscuss hypotheticals.
 
Nikiangalia face-value ya thread naeza sema tu kwamba hoja ya msingi ya uizi wa mtihani HAIJAJIBIWA so far. Badala yake mtuhumiwa pamoja na a55kisser wake wanaamua ku-divert attention kwenda kwa personnel ya CDM wakidhani labda pengine ishu hapa ni politics per se, na kusahau kwamba wengine hapa tupo from neutrality point of view, its pretty embarrasing kuona mtu anavo-stage poor defense achilia mbali kwa ishu yenyewe haijawa addressed, na at the same time mtuhumiwa analeta bango (ambalo sijui linajibuje hoja ya msingi, ambalo cryptically nimeliita 'divine comedy' lakini ntachambua zaidi baadae, perhaps)..call it intellectual dishonesty lakini to me its a reality...kama mtu anavoeza kuiangalia glass ileile ..mmoja anaeza kusema ipo TUPU (practical) mwengine akasema IMEJAA HEWA l(delusional)lolz
 
January Makamba.com

Hoja imejibiwa mapema sana hapo juu. U should have correctly pointed out kwamba haijajibiwa to your standards
 
The little wannabe ati anasema people are hatin' on him..lol..
WHO ARE YOU that people should start worried about ya?
Dawg, i think u r trying too hard..take chill pill kidogo..sasa ilo bango umeweka la nini hapo juu? it is just enough kuna thread nyingine kule wameripoti kuhusu hiyo audition yako ya popularity contest & attention-seeking, nothing new, none-issues..when u keep-on trying too hard watu lazima wakumulike, because they know you that you are not what you boast to be..
 
January Makamba.com

Hoja imejibiwa mapema sana hapo juu. U should have correctly pointed out kwamba haijajibiwa to your standards ie intellectual dishonesty.

yaani nikitaka kusikia kuhusu kesi ya nyani niangalia utetezi wake? thats stupidity

commonsense inanambia sio rahisi kwa mtoto wa kigogo kufutiwa matokeo out of blue..there should be a deeper issues hapa, na kazi yangu mi niku-speculate tu, wenye ushaidi wataleta ila approach yako unaonesha huna hekima wala busara..and totally u think with ur a$$.
 
Hii ni aibu kwake binafsi, kwa Rais wa nchi aliyemteua kama speech writer wake na wananchi wa Bumbuli kwa ujumla!!!!!
 
yaani nikitaka kusikia kuhusu kesi ya nyani niangalia utetezi wake? thats stupidity

commonsense inanambia sio rahisi kwa mtoto wa kigogo kufutiwa matokeo out of blue..there should be a deeper issues hapa, na kazi yangu mi niku-speculate tu, wenye ushaidi wataleta ila approach yako unaonesha huna hekima wala busara..and totally u think with ur a$$.

Haya bwana.
 
Hii ni habari nzuri kuifahamu, lakini swali la msingi ni hili Je kule forest nako aliiba mitihani au alifaulu kwa juhudi zake mwenyewe?. Maana tunaambiwa kwamba kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa. Na hii inatuonyesha kuwa taifa linatawaliwa na viongozi wa aina gani hivi sasa ambao ki maadili si wasafi sana ili wawe mfano wa kuigwa.
 
The little wannabe ati anasema people are hatin' on him..lol..
WHO ARE YOU that people should start worried about ya?
Dawg, i think u r trying too hard..take chill pill kidogo..sasa ilo bango umeweka la nini hapo juu? it is just enough kuna thread nyingine kule wameripoti kuhusu hiyo audition yako ya popularity contest & attention-seeking, nothing new, none-issues..when u keep-on trying too hard watu lazima wakumulike, because they know you that you are not what you boast to be..

Chifu, we have been here before. Mie sio January Makamba. Obviously, I am a stan, groupie, ass kisser, apologetic of his. I don't why u think I am him. It is incredible. How can u be that stupid? seriously? Ustaadh, you truly leave ina buble

I truly do not wish to have a shout match with you. Koz folks will see no differences. But kienyewe mzee. I ain't him. How can mbunge wa bumbuli spend his hours in herre? Its funny kwamba u act all that intellectual and ya can't figure obviouses out.

Bango limewekwa for exactly what you have said, attention seeking, publicity and all that. And its funny to rub it in ya'all faces. Afterall this is makambaforum.com
 
Chifu, we have been here before. Mie sio January Makamba. Obviously, I am a stan, groupie, ass kisser, apologetic of his. I don't why u think I am him. It is incredible. How can u be that stupid? seriously? Ustaadh, you truly leave ina buble

I truly do not wish to have a shout match with you. Koz folks will see no differences. But kienyewe mzee. I ain't him. How can mbunge wa bumbuli spend his hours in herre? Its funny kwamba u act all that intellectual and ya can't figure obviouses out.

Kwa hiyo mbunge asiyechaguliwa haezi ku-spend time JF? lol..dawg u need to get down from your theoretical high horse and smell the coffee, u aint that important, trust me on this, perhaps not yet. yes we've been in that road before lakini u & i know whats going down kwene hiyo ishu, hamna haja ya kufanya politiking kuhusu hili, and u know it.
 
Haya bwana. IshaAllah siku itafika tu tutakuwa kwene same page.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom