January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
Ingia hapa usome kilichotokea, instead of smearing nasty rumors babu. January Makamba.com
s expected to do well at national secondary education exams. I chose to pursue CBA – Chemistry, Biology and Agriculture – as my “combination” for High School studies. The main reason for this choice was that it was an exclusive and a highly competitive combination. There was only one high school – Kibaha Secondary School – in the country taking only 34 students for this combination. So, I chose this because it was hard to get to high school on this. I was thrilled and moved by the challenge. So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded.
 
Yaan Mwizi wa Mitihani alipita Mpaka 5 Bora kabisa Miongoni mwa Kile Chama kwa Sifa za kuwa Raisi ??????????
Kile chama kimejaza Ma Bashite kuanzia shinani Mpaka tawini
 
Justification yao ni kwamba position za kisiasa wasema angalieni performance na si vyeti aka Bashite on the move.
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.

Lete ushahidi hapa ili nilipeleke suala hilo kwenye mamilaka ya utenguzi
 
HII TAARIFA KAMA NI YA KWELI BASI

JANUARY MAKAMBA ANATAKIWA AJIUZULU KUONYESHA UZALENDO WA KWELI.

HIVYO AKIJIUZULU BASI ATAONESHA YEYE NI MZALENDO WA KWELI...

MUDA UMEFIKA AJIUZULU
 
Mbona hapa ni kama anakiri kinamna?

Halafu hii kweli ndiyo English anayoandika Speech Writer wa President of the Great Country of Tanzania? My std 3 child would be ashamed of writing such poor English
kilichokuuama ni kuandika kingereza kibovu....kua waziri wako...au kua mwandishi wa speech za rais mstaafu..kua specific mzungu wetu
 
Kuna wakati tunasumbuliwa na watu ambao maisha yao ni zig-zag tangu zamani. Leo hii mtu kama huyu analihutubia taifa. Bila hata kuchelewa unamkuta ni waziri wa elimu!
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.
Alipomaliza Forestr Hill sec. school matokeo yalikuwaje? Au bado mambo bila wizi hayakwenda vizuri?
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.
siasa za maji taka hizo . mbona kuna hata waliodanganya kwamba wa PhD na bado wanotawala? mbona hujazungumza lolote kuhusu makonda
 
Mbona Freeman Mbowe kafukuzwa University kwa wizi na plagiarism kule UK na alitaka awe RAIS wa TANZANIA
Kwa hiyo wizi wa mitihani was Makamba unahalalishwa na matendo ya Mbowe?.
Au kuna uhusiano gani kati ya matukio Hays mawili?.
 
Msema kweli ni mpenzi wa mungu January alibebwabebwa kuanzia shule na kufanya kazi UNHCR kule kigoma na kulipwa mshahara mnono bila qualifications zozote,pia Mkapa kuwa mdhamini wake wakati yupo masomoni USA na baadaye kuajiliwa ikulu na huyohuyo Mkapa haikutokea kwa bahati ni influence ya mshua wake ndiyo imemtoa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom