January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
Mbona hakukanusha kama mwenzie...mwizi wa pepa
Aliweka maelezo kwenye website yake!!
Hakukataa kuwa alifutiwa matokeo, alikubali kabisa ila anachokataa ni kuwa yeye hakuiba alisingiziwa kwa makosa..
Akili kumkichwa na hakwenda ku apeall wala nini
 
QUOTE="Saint Ivuga, post: 18118899, member: 11702"]Aliweka maelezo kwenye website yake!!
Hakukataa kuwa alifutiwa matokeo, alikubali kabisa ila anachokataa ni kuwa yeye hakuiba alisingiziwa kwa makosa..
Akili kumkichwa na hakwenda ku apeall wala nini[/QUOTE]
Atasingiziwaje peke yake katika darasa zima mbona hajawahi bainisha kuwa alikuwa hana maelewano mazuri na huyo mwalimu? Ni msanii tu kama wengine..
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.
ok alikamatwa akafutiwa matokeo..kama una ushahidi mpya peleka Necta Nacte au polisi. Jamaa anaonekana kupose na muigizaji.
 
Kwa ambao hawakuwa wamefaulu walikuwa wanaweza kurudia darasa kwa kibali maalum kutoka wilayani.
Wilaya gani hyo.. hii ni makubaliano na mkuu wa shule tu.
Hakuna njia nyingine na hii ilikuwa inatolewa nafasi bure ilikusaidia shule ipate wanafunz wakufalu.. mwl mkuu apate sifa
Haya JM ni waziri sasa
Sasa ww ulisoma nae tena baada ya kufutwa ww ukatangaziwa. Na. Mwl mkuu??
Na ww ulikuwa bado unasoma??
Ukumaliza??
Au mtihani upi alifutiwa??
 
Msimamizi alivyomkamata JM alidumbukiza yake makaratasi vibomu kwenye paper za mshkaji kama necta wanavyotaka .. Basi ndio hivyo wengine hawahusiki
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.

nimependa historia yake nzuriii
 
jukwaa hili si mchezo uzi umefukuliwa kwa wale wahakiki wa nani alisoma wapi na cheti alipataje bila shaka mnaona kazi imerahisishwa sana karibuni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom