January Makamba Akabidhi Ofisi Kwa George Simbachawene.

Naona ameenda kabisa na Kanzu kwny makabidhiano ili apate huruma ya ndg zetu waislam,Uchochezi huu-alisikika ndg Musiba akilalamika kwny online tv yako.
Mimi enyewe najiuliza mbona hajavaa kiofisi, kuvaa kanzu sio vibaya ila kwa nini asivae kiofisi?
 
Back
Top Bottom