January Makamba Akabidhi Ofisi Kwa George Simbachawene.

Was January real with the smiling face?

Screenshot_20190724-190404.png
 
Yamemkuta, na bado yale maongezi yao ya kwenye simu yanashughulikiwa! Father and son into total conspiracy!!!!!!
 
Magu kiboko, yan waliomuweka madarakani kawapukutisha wote kabla ya 2020......lissu aliona mbali
 
Safi sana. Kufanya kazi kwenye stress unaweza kufa kwa pressure bure.

Nafikiri kwa sasa atakuwa na muda mzuri wa kushirikiana na waliomchagua awawakilishe bungeni, na pia atakuwa na muda mzuri wa kupanga mambo mengine.
Aah..wap...

Angetoka kwa matakwa yake na si kwa kutemeshwa!

Kama ni kweli na sio mapicha picha yao... basi..ubatizo wa moto ni kweli upo!

Napeeeeh...
 
Kwakuwa wewe ni 'certified hater' ni lazma uone kosa tu sababu wewe pia ni 'fault finder' yaani umeona picha mnato unachambua kama vile video.

Hata angelia yawezekana ungesema halii anajiliza...

You are doing everything and anything in the name 'hatred' because you are infact 'satisfied hater' beyond certified as you claim to be.
Ila yule hacheki kakenua tu!

Analo!
 
Back
Top Bottom