January Makamba ajibu hoja hii ya Raia Mwema....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Namkubali sana Johnson Mbwambo

na gazeti la wiki hii la Raia Mwema amerudia tena kusema January Makamba na watoto wengine
wa vigogo wanabebwa na kupewa madaraka kitu ambacho kitakuja kuleta vurugu hapo baadae nchini...

But hapa kuna hoja mbili.......
kwanza watu wanabebwa huku hawafai.......

pili kuna wanaobebwa lakini pengine wana uwezo....au pengine
tunawahukumu kwa sababu ya majina yao......

Gazeti la Raia Mwema wana utamaduni wa kukubali hoja kutoka kwa watu
hata ambao linawashutumu....so binafsi nafikiri Makamba angejibu hii hoja kwa kuandika
Makala kwenye gazeti hio hilo la Raia Mwema.......

nipo curious kujua anaweza kujibu vipi hoja hiyo na nafikiri huu ni mjadala muhimu kwa taifa...

LEO WATOTO WAO,KESHO NANI?WAKE ZAO?....

ndio ni vema akatumia mwongozo uliotoa kujibu tuhuma ama hoja.
Kiasi fulani anaonekana kuwa na uwezo ila faida kwetu ni which side he gonna choose... By défaut kwa sasa anatumikia waliomuweka ! Je ana balls kufanya wht is best for thé country ...that is point of intérêt tô me

exactly...
tena chadema kwa kupitia kwa mwenyekiti wao mbowe
wamemsifia na wamemtaka ajiunge na chadema

sasa swali bado lipo,je anaweza kufaa hata kama alibebwa?

mimi naona hafai kabisa...but hiyo ni maoni yangu tu..

Boss... umeiweka vizuri sana, some of them wana uwezo, sema tatizo ni kwamba kama hakuna plain level field hata kama wana quality jamii inaona ni walewale tu coz they had some competitive advantage

I like your thread, but i doubt kama wengi tutachangia kwani umeweka hoja serious kidogo

mkuu nashkuru umeliona hilo

ndo maana hata mimi nimeona kwa kuwa hawa watu wanasikia
kama kweli wana uwezo basi wajibu hoja pia...

nakumbuka kwenue mdahalo wa Tanzania tunayoitaka Nape NNauye aliulizwa hilo hilo swali alilipiga danadana ka striker wa mpira wa miguu

Bora hata huyo J.Makamba ambae anabebwa, lakini at least ana back-up ya wapiga kura japo hata kwa kuchakachua. Next Elections kama atachemsha na kushindwa kudeliver, wanampiga kushoto!

Lakini kuna hawa wengine ambao hata hawaeleweki, kisa baba zao wako magogoni gani sijui, na wanatajirika from no historical angle, bali kwa migongo ya baba zao!
Siku zao ziko mashakani sana hasa baada ya hao wanaowabeba kutii kauli ya 'cheo ni dhamana'!

Namkubali sana Johnson Mbwambo

na gazeti la wiki hii la Raia Mwema amerudia tena kusema January Makamba na watoto wengine
wa vigogo wanabebwa na kupewa madaraka kitu ambacho kitakuja kuleta vurugu hapo baadae nchini...

But hapa kuna hoja mbili.......
kwanza watu wanabebwa huku hawafai.......

pili kuna wanaobebwa lakini pengine wana uwezo....au pengine
tunawahukumu kwa sababu ya majina yao......

Gazeti la Raia Mwema wana utamaduni wa kukubali hoja kutoka kwa watu
hata ambao linawashutumu....so binafsi nafikiri Makamba angejibu hii hoja kwa kuandika
Makala kwenye gazeti hio hilo la Raia Mwema.......

nipo curious kujua anaweza kujibu vipi hoja hiyo na nafikiri huu ni mjadala muhimu kwa taifa...

LEO WATOTO WAO,KESHO NANI?WAKE ZAO?....

Huo ni utamaduni huko Tanzania na hakuna wa kumlaumu na wala mwenye uwezo wa kujitanzua na hilo.

Hata Chadema ni hivyo hivyo.
Mbowe ni zao la Mtei ( Mkwe)
Dr Slaa amemweka mkewe mbunge viti maalum.
Tindu Lissu kamweka dadaye na wengine wengi.

Lakini Makamba kumweka Mwanane inakuwa kama kihoja.
Acheni unafiki.

well said..
us.jpg
seo1.jpg

seo.jpg

uk.jpg

Huo ni utamaduni huko Tanzania na hakuna wa kumlaumu na wala mwenye uwezo wa kujitanzua na hilo.

Hata Chadema ni hivyo hivyo.
Mbowe ni zao la Mtei ( Mkwe)
Dr Slaa amemweka mkewe mbunge viti maalum.
Tindu Lissu kamweka dadaye na wengine wengi.

Lakini Makamba kumweka Mwanane inakuwa kama kihoja.
Acheni unafiki.
i think umemiss point ya boss.... He was just poking January kutokana na makala ya gazetini... Boss didnt attack January directly

Vilevile kuna right ya kumsema hata Mbowe sidhani kama Boss alisema tukomalie kwa January pekee, ila angefurahi kuona January anajibu hoja

NO WONDER NILITOA ANGALIZO LA SERIOUSNESS YA HOJA... na kwa tabia zetu humu, tupo kichama zaidi kuliko maslahi

Read Boss again and understand him, wewe ni mtaalam bwana

Boss... umeiweka vizuri sana, some of them wana uwezo, sema tatizo ni kwamba kama hakuna plain level field hata kama wana quality jamii inaona ni walewale tu coz they had some competitive advantage

I like your thread, but i doubt kama wengi tutachangia kwani umeweka hoja serious kidogo

Hapo nilipobold pako so obvious MTM. Suala la uwezo naona kama liko subjective. So far sijaona uwezo wa kipekee wa January, sana sana ninachoona anafanya ni kile anachopaswa kufanya sema anatenda hayo katikati ya wasiotenda kabisa so ni rahisi kwake kushine. Kwangu mimi January amefika hapo si kwa uwezo wake binafsi bali ni kwa mtaji wa mzee wake, ikumbukwe mzee alichosema kwenye kampeni Lushoto kwamba itakuwa aibu kwa watu wa Lushoto kutomchagua mtoto wa katibu mkuu wa ccm. Shida ya kurithishana madaraka Nyerere aliiona ndio maana haikuiruhusu during his regime, unfortunately vichwa vya nazi vinavyotuongoza sasa havilioni hilo so vinaona sawa kurithisha nchi kwa watoto, vimada n.k. Sijakata na wala sitatakata tamaa ipo siku Mungu atatupa viongozi makini waliopo kwa maslahi ya Taifa na si familia zao au jamaa zao.

Heshima kwako Barubaru.

Ningeomba unijuze Mtei alimwekaje Mbowe ?.

Je CDM ya Mtei unaweza kuifanananisha na hii ya Mbowe ?.
Nitaomba kusahihishwa nijuavyo baada ya Mzee Mtei kustaafu uenyekiti wa CDM aliingia Bob Makani wazee wote hawa walikiacha chama kidogo kisicho na mvuto kama ilivyo leo.
Mbowe kaipaisha CDM leo ni chama kikuu cha upinzani kama aliwekwa na Mtei hakika anastahili kusifiwa sana.

Dr Slaa kamweka mke wake ?.Nijuavyo ndoa ya kikristo ni mke mmoja mpaka wakati huu Dr Slaa ana mchumba ingawa tayari ana mtoto.

Tindu Lissu kamweka dada yake duh hii kali nilikuwa sijui lakini kama kafuata taratibu za chama shida iko wapi ?.We Barubaru ebu weka ushahidi pasipo shaka kuunga mkono madai yako.

Huo ni utamaduni huko Tanzania na hakuna wa kumlaumu na wala mwenye uwezo wa kujitanzua na hilo.

Hata Chadema ni hivyo hivyo.
Mbowe ni zao la Mtei ( Mkwe)
Dr Slaa amemweka mkewe mbunge viti maalum.
Tindu Lissu kamweka dadaye na wengine wengi.

Lakini Makamba kumweka Mwanane inakuwa kama kihoja.
Acheni unafiki.

Mkuu mimi maoni yangu ni kuwa kweli wapo wanaostahili kwa nafasi walizopewa au kuzawadiwa na wazazi wao. Lakini hapa kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi kwani hawa viongozi wetu walio madarakani wameonja utamu wa madaraka na hivyo hwataki tena kujitenga na huo utamu. Hapa ndipo wanapoamua kuanza kutafuta mbinu za kuwapenyeza watoto wao ili na wenyewe warithi huo utamu wa madaraka.

Kwa kuwa Tanzania kuwa kiongozi si kazi sana kwani hata ukiwa si muwajibikaji utalindwa tu so long as unatimiza matakwa ya aliyekuweka. Kama kungekuwa na utamaduni wa kuwajibishana kwa kila mmoja mwenye makosa bila kujali tofauti basi hapa uongozi ungekuwa na taswira tofauti sana na hii iliyopo sasa.

Chukulia mfano, Mh Rais J.M. Kikwete aamue kumpigia debe mwanae Ridhiwani Kikwete awe waziri mkuu baada ya yeye kuondoka madarakani. Hivi unafikiri hata kama akipwaya kuna mtu anaweza kumuwajibisha? Hapa labda rais mwenyewe anaweza kuwa amewekwa na mzazi wa huyo huyo anayetuhumiwa. Upo mfano mzuri sana wa Mh Hussein Mwinyi ambaye ni waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa. Hata kama ataboronga vipi lakini Mh rais Kikwete hatothubutu kumuwajibisha kwa kuwa anaogopa atamuudhi mzee mwinyi kwa kuwa hata yeye mzee mwinyi amechangia hapoa alipo sasa.

Hivi hawa viongozi tulionao sasa wanataka hii nchi iwe ya kifalme au? Wangekuwa hapa kama baba wa taifa hili mzee wetu mpendwa mwalimu J.K. Nyerere angetumia mfumo huu walionao wao? Hapa ni jukumu la viongozi wetu kuvumbua vipaji vya uongozi kwa vijana wenye damu changa kwa kuwapa fursa ili waweze kuonekana vipaji vyao vya uongozi kama wao walivyopewa fursa hiyo na mwalimu.

Kwa mtazamao wangu mimi, wapo vijana wengi sana ambao wana uwezo wa hali ya juu kwenye hili suala la uongozi lakini hawapati hizo fursa. Wanaopata fursa ni watoto na ndugu wa viongozi wetu. Chukulia mfano kama kijana Mh J.J. Mnyika mbunge wa ubungo, kama si jitihada zake binafsi na msukumo wa chama chake na uma kwa ujumla asingeliweza kufika sehemu kama alipo sasa. Tazama alivyo sasa, ni ishara tosha ya kuwa hata watoto wa masikini nao wanaweza. Hapa mh J.J. Mnyika ameonyesha kwa vitendo. Wapo wengi sana, lakini kwa uchache naweza kuwataja ni kama mh Mkosamali, mh Zitto, mh wenje, mh halima mdee, na wengine wengi.

Kwa vijana kama Mh. January Makamba mimi naona jina la mzee wake limembeba sana hadi hapo alipo na si juhudi zake, hivyo kusema kama anaweza au la hapa yatupasa tusubiri kidogo ili tumpe muda wa kumtathimini. Kama wangekuwa wanawekwa kwenye mzani wenye usawa katika kufikia vyeo vya juu basi hapa ndipo tungepata kusema fulani ana uwezo mkubwa wa uongozi.

Vijana wetu mungu yupo pamoja na ninyi, hivyo aluta continua mtafikia malengo yenu. Lakini chonde chonde ulevi wa madraka ni nomaaaaaaaaaaaaaa!

Huo ni utamaduni huko Tanzania na hakuna wa kumlaumu na wala mwenye uwezo wa kujitanzua na hilo.

Hata Chadema ni hivyo hivyo.
Mbowe ni zao la Mtei ( Mkwe)
Dr Slaa amemweka mkewe mbunge viti maalum.
Tindu Lissu kamweka dadaye na wengine wengi.

Lakini Makamba kumweka Mwanane inakuwa kama kihoja.
Acheni unafiki.
There is a big difference. Mbowe hajazaliwa na Mtei.

Huo ni utamaduni huko Tanzania na hakuna wa kumlaumu na wala mwenye uwezo wa kujitanzua na hilo.

Hata Chadema ni hivyo hivyo.
Mbowe ni zao la Mtei ( Mkwe)
Dr Slaa amemweka mkewe mbunge viti maalum.
Tindu Lissu kamweka dadaye na wengine wengi.

Lakini Makamba kumweka Mwanane inakuwa kama kihoja.
Acheni unafiki.

List yako ya waliowekwa ingeendelea naamini tungewajua wote waliowekwa Au ulikuwa unataka kusema kuwa kwa kuwa wengine wamewaweka watu wao na wengine pia wakiwaweka sawa?

Lakini kuna hawa wengine ambao hata hawaeleweki, kisa baba zao wako magogoni gani sijui, na wanatajirika from no historical angle, bali kwa migongo ya baba zao!

Mkuu kama unaongelea RI1 kwa sasa ni wazi kujua katajilika vipi
baba RI1 hakuwakilisha pesa aliyopewa na waarabu wa mahotel na kutoka saudi kwenye CHAMA CHA MAJUHA
chama kikaiba hela a umma kufanya kampeni

hiyo hela aliyokusanya VASCO DAMA kutoka kwa maswahiba wake na nchi mbalimbali ikiwemo libya
ndizo RI1 anafanyia biashara, hivyo ndivyo familia ya magogoni iliyotajirika sana, na wanahela hao
Tatizo ni sasa wengine ndani ya chama cha majuha wamejua hiyo siri kutoka wikileaks

SHIDA NI KUWA HATA KM UNAUWEZO KIASI GANI LAKINI UKIWA NDANI YA CCM WEWE UNAKUWA BOYA TU NA HUNA FKIRA ZOZOTE TENA UNAANZA KUONGOZA KWA MAZOEA NA KUJIINGIZA KWENYE UFISADI................KM BAJETI ZINAPITISHWA KWA WABUNGE WETU KUHONGWA WE UNADHANI TUTAKUJA KUPATA MAENDELEO?

ndiyo maana kuna umuhimu wa kuangalia pia maana halisi ya majina ya vyama vya siasa kwa mfano.....Chama Cha Mapinduzi (ccM)wanapindua nini?.....wanapindua reaslimali za taifa kuwa za mafisadi?......halafu kinaitwa chama cha wakulima na wafanyakazi kivipi wakati wafanyakazi wananyongwa kupitia kodo kubwa iliyokithili na inayosababishwa na uvivu wa kufikiri wa watawala wetu...cha wakulima kivipi wkt wanapandisha bei kipindi cha kampeni tu ili wapate kura?...........Chama Cha Magamba (CCM), Chama Cha Mafisadi (CCM)-all are meaningless...........kUNA majina mazuri bana....Mfano Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHANDEMA)-vey meaningful...kwa hiyo vyama vingine tunapochagua na haviteni km tunavyotaka kn CCM ni matokeao ya kutofuatilia itikai zao kikamilifu.......................
JAMANI ONDOKENI KWENYE MAPINDUZI YA RASILIMALIU, ONDOKENI KWENYE MAFISADI, ONDOKENI KWENYE MAGAMBA NJOONI KWENYE MAENDELEO NA DEMOKRASIA YA KWELI...AU NINYI HAMTAKI JAMANI?...MUNGU AWAPE NINI SANA....,AGAMBA ZAIDI?.....MAFISADI ZAIDI.....MAPINDUZI ZAIDI? SEMENI HAPANA INATOSHA

Kama hao ambao wanaotaka kuingia uongozini bila 'kubebwa' hawajitokezi unategemea nini? Na unawezaje kusema fulani kabebwa na fulani hajabebwa na nani au na nini? Mara nyingi tumesikia lawama kuwa watu kama Muhonga, Halima Mdee, Regia wasingekuwa hapo kama Mbowe asinge-pull strings. Sasa kama dhana ya kubebana inatafsiriwa kwa CCM tu basi ni sahihi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba watoto wengi wa 'vigogo' ndiyo wenye sifa za uongozi.

Heshima kwako Barubaru.

Ningeomba unijuze Mtei alimwekaje Mbowe ?.

Je CDM ya Mtei unaweza kuifanananisha na hii ya Mbowe ?.

Nitaomba kusahihishwa nijuavyo baada ya Mzee Mtei kustaafu uenyekiti wa CDM aliingia Bob Makani wazee wote hawa walikiacha chama kidogo kisicho na mvuto kama ilivyo leo.

Mbowe kaipaisha CDM leo ni chama kikuu cha upinzani kama aliwekwa na Mtei hakika anastahili kusifiwa sana.

Dr Slaa kamweka mke wake ?.Nijuavyo ndoa ya kikristo ni mke mmoja mpaka wakati huu Dr Slaa ana mchumba ingawa tayari ana mtoto.

Tindu Lissu kamweka dada yake duh hii kali nilikuwa sijui lakini kama kafuata taratibu za chama shida iko wapi ?.We Barubaru ebu weka ushahidi pasipo shaka kuunga mkono madai yako.</
font>

Iweli mapenzi ya chama ni hatari..''DR. SLAA ANA MCHUMBA TU JAPO AMEZAA NAE TU''
Hata ni maslahi ya chama kwa kwenda mbele.. Utafananisha viti maalum na ubunge wa makamba wa kuchaguliwa na wananchi jamani.?! Kweli wabongo hawana pema.!! Sijui angekuwa january ni mbunge wa viti maalum mngeongea nn.. Na ndesapesa na mwanae lucy nayo mnayaonaje.. Au mapenzi kwa chama kwanza halafu maslahi ya taifa....CCM STAND UP..LET US RULE..LET THEM CHAGAS AND FELLOWS TALK..

CHAGADEMA I

Back
Top Bottom