January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,980
4,451
Sijajua rais Samia alimpendea nini.

Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani.

Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama sio muongo na mnafiki tumuiteje?

Afu ndio alitaka kuwa rais!!!
 
Naona kale kampango ketu kanafanikiwa😊
20211013_120347.jpg
 
Meneja kufukuzwa sio suluhisho la tatizo. Tatizo ni miundombinu ya umeme mibovu kila mahali nchi hii lakini mabosi wa hao mameneja ndio shida na wako busy kula keki ya nchi
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom