2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,980
- 4,451
Sijajua rais Samia alimpendea nini.
Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani.
Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama sio muongo na mnafiki tumuiteje?
Afu ndio alitaka kuwa rais!!!