January awasha moto wa katiba na kula kona, facebook

vassil

Senior Member
Apr 13, 2008
122
15
January Makamba ameanzisha mdahalo wa katiba mpya kwenye facebook kinachoendelea kimekaa vizuri watu wanachangia yeye amekaa kimya

"Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending the problematic ones?" JM
 
Sasa mbona na ww huchangii umekaa kimya? Yale yale ya January.....
 
CCM mishowe watakuja sema iyo issue wameianzisha wao.
CHA MSINGI KATIBA IBADILISHWE TUMECHOSHWA NA HII NDAZA
 
CCM mishowe watakuja sema iyo issue wameianzisha wao. CHA MSINGI KATIBA IBADILISHWE TUMECHOSHWA NA HII NDAZA

KAka unachotaka wewe ibadilishwe ama nani afaidike kisiasa katika kuhodhi hoja hiyo ya mabadaliko. Tupende tusipende, mpini wa kubadili katiba nchini umeshikwa na CCm na kama kweli tunataka mabadilko hayo na siyo political expediency tu ni muhimu kuwaaminisha forces of changes/reformers ndani ya CCM hivyo na kufanya nao kazi na si vinginevyo....Nguvu ya wabunge chini ya mia moja haiwezi kulazimisha wala kufanikisha iwe mabadiliko ama katiba mpya...

Civil society tuliyonayo ni ya projects na petty alliances na Dar Es Salaam based....more so elitist....hakuna mategemeo hapo tofauti na wenzetu wa Kenya......

Watanzani bado hawajapigika na kufikia mwisho wa hopes zao na zaidi hawana imani na mapambano katika jukwaa moja na wajanjawajanja wa upande mwengine wa CCM......

Politics of engagements and non partisan arguments and alliances ndio njia pekee ya kufanikisha hili...kwa hali tuliyonayo sasa na muda mrefu ujao....
 
January Makamba lazima ale kona kwani he is labelled as an online terrorist na serikali ya marekani baada ya kushtakiwa na binti ROCKERFELLER!!
 
January Makamba lazima ale kona kwani he is labelled as an online terrorist na serikali ya marekani baada ya kushtakiwa na binti ROCKERFELLER!!
Hivi ile case imefikia wapi file wasee. nawesa kupata hiyo link ya face book ya shemeji January marope?
 
CCM mishowe watakuja sema iyo issue wameianzisha wao.
CHA MSINGI KATIBA IBADILISHWE TUMECHOSHWA NA HII NDAZA

i like u r perspective man, kumbe umeona eeehh, ili CCM iseme wenyewe walishaona kabla sasa nahisi wantafuta unreasonable points za
kuunda new katiba
 
January Makamba ameanzisha mdahalo wa katiba mpya kwenye facebook kinachoendelea kimekaa vizuri watu wanachangia yeye amekaa kimya

"Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending the problematic ones?" JM

January ndo mududu gani?
 
KAka unachotaka wewe ibadilishwe ama nani afaidike kisiasa katika kuhodhi hoja hiyo ya mabadaliko. Tupende tusipende, mpini wa kubadili katiba nchini umeshikwa na CCm na kama kweli tunataka mabadilko hayo na siyo political expediency tu ni muhimu kuwaaminisha forces of changes/reformers ndani ya CCM hivyo na kufanya nao kazi na si vinginevyo....Nguvu ya wabunge chini ya mia moja haiwezi kulazimisha wala kufanikisha iwe mabadiliko ama katiba mpya...

Civil society tuliyonayo ni ya projects na petty alliances na Dar Es Salaam based....more so elitist....hakuna mategemeo hapo tofauti na wenzetu wa Kenya......

Watanzani bado hawajapigika na kufikia mwisho wa hopes zao na zaidi hawana imani na mapambano katika jukwaa moja na wajanjawajanja wa upande mwengine wa CCM......

Politics of engagements and non partisan arguments and alliances ndio njia pekee ya kufanikisha hili...kwa hali tuliyonayo sasa na muda mrefu ujao....
Wanted to respond...thought better and leave it as is..
 
Kitu kikubwa pekee na cha kujivunia pindi JK atakapomaliza muda wake ni kuwaachia watanzania katiba mpya yenye kujali masilahi ya Taifa na ukuaji wa demokrasia. Hili lipo ndani ya uwezo wake kwani ufisadi umemshinda, uchumi umemshinda, maisha bora kwa kila mtanzania yamemshinda. Na hii si kwa sababu hana utashi la hasha bali utashi anao ila uwezo hana kutokana na yeye alivyoupata urais 2005.

The only legace he can leave behind Tanzanians is a new constitution which incorporates the ideas of all stakeholders with the national interests first party later. Kwa kuwa wamejua kuwa wingu limeshafunga kinachosubiriwa ni mvua kunyesha tu ambayo hawana ubavu wa kuizuia basi wameonelea kuwa huu ni wakati muafaka wa kuangalia katiba badala ya kusubiri yatakayotokea chaguzi zijazo ambayo dalili zimeanza kuonekana kuwa kuna watu watafikishwa "The hague" sooner or later if things remain the same.
 
kaka unachotaka wewe ibadilishwe ama nani afaidike kisiasa katika kuhodhi hoja hiyo ya mabadaliko. Tupende tusipende, mpini wa kubadili katiba nchini umeshikwa na ccm na kama kweli tunataka mabadilko hayo na siyo political expediency tu ni muhimu kuwaaminisha forces of changes/reformers ndani ya ccm hivyo na kufanya nao kazi na si vinginevyo....nguvu ya wabunge chini ya mia moja haiwezi kulazimisha wala kufanikisha iwe mabadiliko ama katiba mpya...

Civil society tuliyonayo ni ya projects na petty alliances na dar es salaam based....more so elitist....hakuna mategemeo hapo tofauti na wenzetu wa kenya......

Watanzani bado hawajapigika na kufikia mwisho wa hopes zao na zaidi hawana imani na mapambano katika jukwaa moja na wajanjawajanja wa upande mwengine wa ccm......

Politics of engagements and non partisan arguments and alliances ndio njia pekee ya kufanikisha hili...kwa hali tuliyonayo sasa na muda mrefu ujao....

sio kosa lako maana na location yako inaonesha ni morogoro, ule mkoa ambao kwa miaka nenda rudi wabunge wake ni wahindi 3/4, na halafu unaongea kama unatoka usingizini, wale leo tena ya clouds wana page yao pale facebook, nadhani itakufaa zaidi. Na tuna dada yetu humu mpambanaji regia mtema tutampa jukumu la kukusafisha macho kwa sababu wewe ni home boy wake usipotee, maana inaonekana unaishi dunia ya kufikirika.
 
Mzee Mwinyi amesema no way katiba mpya iliyopo inatosha:

Retired President Ali Hassan Mwinyi has dismissed the idea of overhauling the country's constitution at this time, asking: "Why now?"
However Civic United Front Chairman Prof Ibrahim Lipumba said a new constitution was vital to meet the present demands.
Mwinyi was responding to questions from a team of journalists who interviewed him in Dar es Salaam yesterday on his stand on the rising calls for a new constitution, in Dar es Salaam.
Mwinyi said he does not support the idea of having a new constitution because the time is not right.
He said before changing the current constitution, Tanzanians should ask themselves in whose interest and for what goal they are seeking the changes.
He however said, there is room for discussions, but he does not support the way some people want to deal with it as hurriedly as if the country is missing something very special.
"What needs do Tanzanians not get today from the current constitution, that it should be changed so fast?" he asked.
"If there are areas in the constitution which need to be changed, then it should be amended" he added.
He cautioned Tanzanians against haste in dealing with the constitution because it may not give them the desired results. "Tanzanians should ask themselves, how many people are demanding for the new constitution. Is it for the elite?"
For his part, Prof Lipumba called upon Tanzanians to join forces in pressing for the new constitution.
He made the call when briefing journalists on the recommendations by party's National Governing council which met for two days in Dar es Salaam.
Prof Lipumba said the new constitution which would have true democratic base to draw up the national development vision for the benefit of the present and future generations was very crucial at this time.
"CUF joins other Tanzanians regardless of their ideologies or status, through democratic ways to demand for a new constitution to meet the current demands," Lipumba said.
He said the council also called on various stakeholders to support the demand for amendment of the Election laws and for an independent Electoral Commission, saying the current was not trusted by mostTanzanians.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Namuonea sana huruma Mzee Mwinyi angepumzika acheze na wajukuuu zake....awafundishe quraan.....wakue kwa misingi ya dini.....siasa imeshampita na wakati mzee yule
 
Tujitahidi kuandika lugha fasaha basi jamani. Ni vizuri kuandika lugha moja mawazo yako yote.
 
Back
Top Bottom