Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,277
- 32,320
Makamba ame out source majukumu yake?
Inakuwaje Makamba anatumia muda mwingi
kufanya mambo yasiyo husiana moja kwa
moja na wizara yake?
1. Hivi karibuni tumesikia kawakusanya
wakulima Songea kuzungumzia changamoto
zao
2. Juzi twaambiwa aliwaketisha makasisi
3. Leo kahamia kwa bodaboda ambako pia
hakuhusiani na job description yake
Huyu si miongoni mwa wale mawaziri mizigo?
maana haijulikani ni nani anafanya kazi zake
ofisini
Inakuwaje Makamba anatumia muda mwingi
kufanya mambo yasiyo husiana moja kwa
moja na wizara yake?
1. Hivi karibuni tumesikia kawakusanya
wakulima Songea kuzungumzia changamoto
zao
2. Juzi twaambiwa aliwaketisha makasisi
3. Leo kahamia kwa bodaboda ambako pia
hakuhusiani na job description yake
Huyu si miongoni mwa wale mawaziri mizigo?
maana haijulikani ni nani anafanya kazi zake
ofisini