January 12, siku ya mapinduzi Zanzibar kuibua utata mpya wa muungano

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Tumeshazoea utaratibu wa mheshmiwa Magufuli kufuta shamrashamra na kuamuru pesa iliyotengwa kwa shughuli hiyo kufanya kazi zenye manufaa ya moja kwa moja na wananchi kwa kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Je ni Magufuli, Sheni au Maalim Seif mwenye kuamua nini kifanyike siku hiyo? Ikiwa wakiamua wazanzibar Magufuli atahudhuria?
 
Back
Top Bottom