Janja Ya RA

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,597
Mimi siamini kama huyu ni mmiliki halali ya DOWANS!!huu ni usanii watanzania tunafanywa hatunazo!!wewe ulisikia wapi eti anatuonea huruma!

Hii nikutaka kupooza moto wawa bunge kuhusu DOWANS sasa ukitaka kujua tazama magazeti yanayomilikiwa na RA yalivyo jifanya kupamba story ya DOWANS ili watanzania wapotee!

Ukweli Dowans mmliki siye huyo mwanajeshi mstaafu huyo ni Boya!!
 
Nawashauri sisiem waliangalie vizuri hili jambo linawezekana likawacost mbele ya safari, kwani watanzania tumechoshwa na usanii huu wa kijinga
 
Na huyo bg aladawi ni msanii si kamati ya mwakyembe ilienda kumhoji akakataa kuwa ye si mmiliki sasa leo anatokea wapi tena? Na kusema mi ndo mmiliki?
 
Mliopo TZ(Dar) kamateni huyu mmiliki feki na mchapeni viboko au apigiwe kelele za mwizi ili apate kipigo cha mwizi wanakera sana hawa mafedhuli
 
Usanii umetuzidi mno, na haya ni matokeo ya watanzania kupenda kudanganywa..na kuachana na watu wanaosema ukweli.

Kidumu chama twawala.....kilichoshika utamu mpaka ukageuka kuwa uchungu.
 
Hivi Tanzania hatuna paparazi??Waandishi wa habari mmekatazwa kumpiga picha au ni halali na ni haki ya mhusika akisema asipigwepicha?

Uruhusiwi kumpiga picha?/Je Paparazi kwanini wasimpige wakaweka kwenye magazeti huska na mapaparazi? au magazeti ya uchunguzi ingekuwa vizuri tukamfahamu sura yake hata ukikutananaye samora ujue huyu ndo kakufikisha hapo ulipo!!
 
Kwani MwanaKJJ si aliwahi muhoji na akakataa kwamba yeye si mmiliki wala hana kampuni hiyo? Janja ya Nyani - nashangaa sana RA kuwa hai hadi leo........
 
jamani kwanza naomba kupiga hodi katika jukwaa hili ambalo ni kisima cha nyanja zote za kijamii.

Binafsi nadhani huyu RA anajaribu kucheza na akili za wadanganyika sababu kama mkuu wa nchi amekana kutomjua mmiliki wa DOWANS na twaambiwa hukumu ilifanyika Hotelini Movenpick, mbona wakati wa usikilizaji wa hiyo kesi hawakutafutwa watu mpaka twapewa jibu la suluhisho la kulipa hiyo mihela.

Kwa upeo wangu mdogo ninavyojua ni muda mrefu katika hoteli hiyo ndipo mara zote makutano ya RA na wadau wake katika shughuli za biashara kwa ufupi ni kijiwe chake cha kudumu kwa shughuli zake na hata kama tnavyoambiwa kuwa kesi ilifanyika hapo ni wazi sakata zima la DOWANS mhusika mkuu ni RA na hata huyu anayesema mmliki wa hiyo kampuni ni mtu ambaye ametafutwa kuja kutuficha ukweli wa mambo kama yale ya RICHMOND ya kumfungulia yule mwarabu huku ukweli ukiwa hakuna hata hiyo kampuni.

Ni wakati sasa wadanganyika tukafunguka macho na kuamua kwa nia moja kuwakataa hawa mafisadi ambao wanatuongezea machungu ya maisha huku wao wakiendelea kuneemeka kwa ujanja wao.
 
Teh teh mafisadi wana kazi safari. wanadanganya kila stepu mpaka wanasahau juzi walitumia uongo upi? mixing kwa kwenda mbele. utamu bongo lala wapole sana hata wakijua ni oungo wanalalamika ndani ya shuka......
Hongereni mafisadi........
 
afadhali jamaaa katitokeza sasa mkuu Jk anamfahamu then KINACHOFUATA SASA KWA JK!
 
Hivi Tanzania hatuna paparazi??Waandishi wa habari mmekatazwa kumpiga picha au ni halali na ni haki ya mhusika akisema asipigwepicha??Uruhusiwi kumpiga picha?/Je Paparazi kwanini wasimpige wakaweka kwenye magazeti huska na mapaparazi?au magazeti ya uchunguzi ingekuwa vizuri tukamfahamu sura yake hata ukikutananaye samora ujue huyu ndo kakufikisha hapo ulipo!!
Hivi mlishindwa kupiga picha huyu mfilisi wa nchi??
 
Natamani kujua nini kinaendelea vichwani kwa ra, el na mafisadi wengine which makes them think kuwa watanzania ni watu wa kuchezewa kwa maigizo kama haya.
 
Mimi siamini kama huyu ni mmiliki halali ya DOWANS!!huu ni usanii watanzania tunafanywa hatunazo!!wewe ulisikia wapi eti anatuonea huruma!!Hii nikutaka kupooza moto wawa bunge kuhusu DOWANS sasa ukitaka kujua tazama magazeti yanayomilikiwa na RA yalivyo jifanya kupamba story ya DOWANS ili watanzania wapotee!!Ukweli Dowans mmliki siye huyo mwanajeshi mstaafu huyo ni Boya!!

Huyu ni muuza mitumba na ni muarabu wa kariakoo RA ni msanii ile mbaya, CCM wakiambiwa wale mavi na RA wanakula maana wote wamehongwa na huyu jamaa, ameiweka Serikali ya JK mfukoni mwake.

Ra alishasema hana uhusino na DOWANS leo anamfahamu mmiliki nammiliki anadai alimpa power of attorney itakuwa wasiofahamiana kupeana power za kisheria ?mimi siiamini hata kidogo hii serikali ya CCM kwa chochote kile,watanzania huu ni mzaha kabisa kwa sisi walipa kodi,kwa nini tusigome kulipa kodi?

maana kila kitu tunatoa mfukoni kwetu kodi yetu wanalipana posho za vikao na malipo hewa kila siku.
 
Mimi siamini kama huyu ni mmiliki halali ya DOWANS!!huu ni usanii watanzania tunafanywa hatunazo!!wewe ulisikia wapi eti anatuonea huruma!!Hii nikutaka kupooza moto wawa bunge kuhusu DOWANS sasa ukitaka kujua tazama magazeti yanayomilikiwa na RA yalivyo jifanya kupamba story ya DOWANS ili watanzania wapotee!!Ukweli Dowans mmliki siye huyo mwanajeshi mstaafu huyo ni Boya!!

al adawi rostam wote wezi tu!
 
Huyu ni muuza mitumba na ni muarabu wa kariakoo RA ni msanii ile mbaya,CCM wakiambiwa wale mavi na RA wanakula maana wote wamehongwa na huyu jamaa,ameiweka Serikali ya JK mfukoni mwake.
Ra alishasema hana uhusino na DOWANS leo anamfahamu mmiliki nammiliki anadai alimpa power of attorney itakuwa wasiofahamiana kupeana power za kisheria ?mimi siiamini hata kidogo hii serikali ya CCM kwa chochote kile,watanzania huu ni mzaha kabisa kwa sisi walipa kodi,kwa nini tusigome kulipa kodi?maana kila kitu tunatoa mfukoni kwetu kodi yetu wanalipana posho za vikao na malipo hewa kila siku.
Hivi wanajiamini nini??Na JANUARY KAINGIA CHAKA!!
kweli mafisadi yametudharau kiasi hiki?
Wanatuona watoto ya tima!

al adawi rostam wote wezi tu!
Hivi serikali inataka prove kutoka kwa nani kwa nini wasimkamate wamuweke ndani??Au na wao wanaogopa kujipaka choo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom