Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Mwe...paka nae anabembeleza mpaka kieleweke
ausindile dada
Anajaribu kumuadaa jamaa!hahaha anajidekesha kwa kuwa kuna samaki hapo
Sijakuelewa
Kaongea lugha ya kwao!Sijakuelewa
Mh!is it!Anasema naomba kikojoleo
Huyu paka ana akili sana!Mwe...paka nae anabembeleza mpaka kieleweke
Mkuu ongea kiswahili ili sote tupate kukuelewa!ausindile dada
Anaomba au anaazima hahaaaaaaaaaaaAnasema naomba kikojoleo
Anasema naomba kikojoleo
Anaomba au anaazima hahaaaaaaaaaaa
Anasema naomba kikojoleo
Kaongea lugha ya kwao!
Khaa leo umetoa mpya, but its true huwa vinaazimwa tu....
teh teh teh....