Elections 2010 Janja ya kumwokoa JK - ucheleweshaji matokeo

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Kuna kila dalili kwa mba ucheleweshaji huu wa matokeo ya uchaguzi ni namna ya kumwokoa JK. Ukiangalia reporting ya NEC so far iko zaidi yale maeneo amabayo JK ilikuwa ni obvious atasweep kwa kishindo.

Lakini kuna matokeo kama ya jimbo la Bukoba mjini, pamoja na CCM kushinda kwa kishindo kwenye ubunge na udiwani lakini wamemkataa JK. JK amepata jumla ya kura 15,410 sawa na 46.56% wakati mpinzani wake Dr. Slaa amepata 16,604 sawa na 50.16%. Hii ni scenario ambayo najua itakuwa maeneo mengi sana mfano Kyela, Rungwe, Sumbawanga,Dodoma mjini etc.

Hivyo basi kwa mwenendo wa utoaji wa matokeo kama ulivyo sasa inawezekana kabisa ni kwa ajili ya kumlinda mkuu.
 
They are playing with people Psychology so that they get used to the trend of JK winning, we are aware of that and any consipiracy will be at their detrimental consequences.
 
Kwa sasa wameshika mpini na kugeuzia makali kwetu.
Tumevaaa Keflar Gloves tunajiandaa kushika makali wakati wowote umuhimu wa kufanya hivyo ukijitokeza.
 
what is happening in TZ rightnow is textbook vote vote rigging!!!!

first step - stuff the ballot boxes

second step - bring police to creat chaos and during the chaos mess up the counting process

third step - if all the above are not going as planned then delay the announcement of the votes, alter the final tally at the headquaters and then announce the incumbent and his party as the winners

i know this because i am a kenyan and we wrote the textbook on how to rig elections, and as of right now tanzanians are being sh!tted on by NEC and CCM real bad.

if this was in kenya, the whole country would be in chaos. i know on this forum we have heated arguements but i am serious when i say that i do not want to see bloodshed and loss of lives in tanzania because of this election. goodluck neighbours
 
Jesus used His blood to cleanse our souls, we will use ours to cleanse our country as you our neighbours did!
 
Uongozi/utawala unawekwa na Mungu.Wenye haki washindapo watu hustawi bali waovu washindapo machafuko yanatawala.Ee Mungu utuhurumie tz
 
Hili lilishajulikana ndiyo maana Dk. wa Ukweli Slaa kakaa kimya tu
 
Kuna kila dalili kwa mba ucheleweshaji huu wa matokeo ya uchaguzi ni namna ya kumwokoa JK. Ukiangalia reporting ya NEC so far iko zaidi yale maeneo amabayo JK ilikuwa ni obvious atasweep kwa kishindo.

Lakini kuna matokeo kama ya jimbo la Bukoba mjini, pamoja na CCM kushinda kwa kishindo kwenye ubunge na udiwani lakini wamemkataa JK. JK amepata jumla ya kura 15,410 sawa na 46.56% wakati mpinzani wake Dr. Slaa amepata 16,604 sawa na 50.16%. Hii ni scenario ambayo najua itakuwa maeneo mengi sana mfano Kyela, Rungwe, Sumbawanga,Dodoma mjini etc.

Hivyo basi kwa mwenendo wa utoaji wa matokeo kama ulivyo sasa inawezekana kabisa ni kwa ajili ya kumlinda mkuu.

hawana jeuri ya kuchakachua mkuu. tulia kama mtoto ananyonya titi la mama. subiri
 
wanafanya biashara ya KUMKANDA MBWA KIUNO hao. Yatakwisha haya. Ridhwani ajiandae na wenziwe ndani ya saa 11 SEGADANSI ndo panapomfaa.
 
Nimeona haya makusudi ya NEC wa kuhangaika kutoa taarifa za matokeo ktk majimbo ambayo CCM imeshinda au hutarajiwa kushinda. Utasikia Mgombea wa CCM anaongoza ukiangalia figure hazipishani sana. Kuna majimbo ambayo CCM imebwagwa ajabu jana NEC hawakusema kuhusu matokeo ya uraisi. Hai, Arusha, Nyamagana, Ilemela, Mbeya. etc Lakini Siha kwa kuwa CCM imeshinda huko wametangaza.

Nina imani kuwa wanaharakati ktk kipindi hiki cha miaka mitano tutapigania swala la katiba mpya ili tuweze kuwa na independent bodies ikiwemo NEC. Niwafahamishe NEC kuwa kumsadia JK kwa kuchelewesha matokeo haiwajengi bali inavunja heshima ndogo iliyopo ya NEC na vilevile kumchafulia JK kwa upande wa uongozi.
 
Inasikitisha sana nchi yetu kuchafuliwa na familia moja ya kikwete, kisa uchu wa madaraka! Kweli nimeamini uongozi ni kilevi kwa watu wasio na hekima!
 
NEC hawakusema kuhusu matokeo ya uraisi. Hai, Arusha, Nyamagana, Ilemela, Mbeya. etc Lakini Siha kwa kuwa CCM imeshinda huko wametangaza.

Mambo ya ajabu kabisa mkuu!
 
Wakati utata ulipokuwa ukiendelea kuhusu Wabunge wa thithiem walioanguka na kuyakataa matokeo na pia kutia saini kwenye form za matokeo, NEC walikuwa wanayachakachua matokeo ya urais na wabunge wengine wa thithiem ili kuhakikisha thithiem kutoadhirika zaidi.
 
hawana jeuri ya kuchakachua mkuu. tulia kama mtoto ananyonya titi la mama. subiri

Ng'wanangwa nakushusha cheo. Kakwambia nani hawawezi kuchakachua? Kunyonya titi la mama ni habari ya starehe. Sasa hivi tunakomboa nchi hakuna kunyonya kama akina Ng'wanangwa.


  1. Kwanza baada ya haya ni lazima tuweke shinikizo hata kama Slaa hatasema Jaji Makame aachie Ngazi.
  2. Tunataka tume huru. Tufanye maandamano kuifia nchi yetu.
  3. Tusipumbazwe na viongozi wa dini wanaotuambia tuache tu wakati hawaishinikizi CCM kutenda haki.
 
If they were confident enough to win 80% of the votes,why do they have to thief around? between Zanzibar and Ubungo which constituency is simple to count and anounce? uchakachuzi continues! POOR US
 
Back
Top Bottom