Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Kuna kila dalili kwa mba ucheleweshaji huu wa matokeo ya uchaguzi ni namna ya kumwokoa JK. Ukiangalia reporting ya NEC so far iko zaidi yale maeneo amabayo JK ilikuwa ni obvious atasweep kwa kishindo.
Lakini kuna matokeo kama ya jimbo la Bukoba mjini, pamoja na CCM kushinda kwa kishindo kwenye ubunge na udiwani lakini wamemkataa JK. JK amepata jumla ya kura 15,410 sawa na 46.56% wakati mpinzani wake Dr. Slaa amepata 16,604 sawa na 50.16%. Hii ni scenario ambayo najua itakuwa maeneo mengi sana mfano Kyela, Rungwe, Sumbawanga,Dodoma mjini etc.
Hivyo basi kwa mwenendo wa utoaji wa matokeo kama ulivyo sasa inawezekana kabisa ni kwa ajili ya kumlinda mkuu.