Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,691
- 5,451
Hatua za awali za ujenzi wa uwanja wetu hatimaye umeanza. Ahsante GSM,LALIGA na SEVILLA. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Matikiti chumvi!Hapo mnataka kulima nini
Kama hii haujaiamini izo zingine utaziamini? Safari ni hatua hii ndio YANGA, WAPE SALAMU.Hili eneo mbona kama vile shambani kwangu.....toa picha zaidi
Mtani naona mnataka kujisahaulisha tuliyoyafanya jumapili. 😎
Ningekukosa hapa ningetembea peku jf nzima. 😎😎Kilimo kwanza auembu kuweni serious siku moja moja
Ningekukosa hapa ningetembea peku jf nzima.
Hivyo Mtani na wewe umeamini hiyo pikiture?
Hivyo Mtani na wewe umeamini hiyo pikiture?
Kwani hajatumiwa Mtani?Mtumieni kocha ticket.
Hebu hukoo. 🚶♀️🚶♀️Ngoja niwaulize La liga
Jangwani wapi hapa? Kalahari au Sahara?View attachment 1467697
Hatua za awali za ujenzi wa uwanja wetu hatimaye umeanza. Ahsante GSM,LALIGA na SEVILLA. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.