Jangwani imetushinda je uholanzi tungeiweza?

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
Hii picha ni Uholanzi maji yanapita juu magari yanapita chini yaani wametengeneza daraja la kupita maji. Je nini kinatushinda pale jangwani miaka nenda rudi?

FB_IMG_16147591203384921.jpg
 
Aaah tutasema bora hio pesa angepeleka kwenye akaunti zetu wananchi tuzitumbue
 
Thinking ndogo sana hii
Kwa akili zako hiyo ni Flood Plain.
 
Thinking ndogo sana hii
Kwa akili zako hiyo ni Flood Plain.
Nadhani wewe itakuwa na thinking mdogo plus, haiwezekani Lila mwaka Tatizo lile lile halafu hakuna utatuzi miaka je, hiyo ya uholanzi tungeiweza? Je unajua ni utaalamu gani umetumika hapo?
 
Tuko kwenye upembuzi yakinifu huku tukisikilizia bajeti,mambo yakikaa sawa tutajenga mkuu..😂😂
 
Sisi tuna changamoto inabidi tutatue kwanza ndio tuifanye iwe fursa.

Wenzetu tayari walitatua changamoto zao na sasa wanatengeneza fursa.

Sasa kutokana na hili asitokee mtu anasema sisi ni Donor Country.
 
Back
Top Bottom