Janga la kitaifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Janga la kitaifa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, Feb 14, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa kumetokea upungufu mkubwa wa dawa na vifaa muhimu vya hospitalini nchi nzima.sababu inayotajwa kuchangia janga hili ni kutekwa kwa meli yenye makontena ya MSD.
  Wenye taarifa zaidi mtujuze...
  Mlioko mahospitalini na maduka ya dawa hali ikoje?
  Nawasilisha....
   
Loading...