Janga la kitaifa kwa wanafunzi waendao vyuo katika jamhuri ya muungano wa tanzania [mikopo].

Aug 31, 2011
35
27
Tumechoka na danadana za siasa, hatuwezi kusikia tena siasa, na hatuwezi kuvumilia na kulimbikiza hali ya masononeko na manung'uniko ya watanzania walio masikini. Katika kusherehekea miaka hamsini ya uhuru ni wakati maalumu wa kufanya mapinduzi, hatuwezi kuvumilia kwa hili, serikali yetu si masikini kiasi cha kuterekeza idadi kubwa ya wanafunzi Kutowadhamini mikopo.
kitendo cha serikali yetu kuto wadhamini mikopo wadogo zetu haswa wale watoto wa walalahoi , ni kulizika taifa kwani vijana ni taifa la kesho, na tunahitaji vijana walio masikini kuja kushika hatamu za uongozi katika taifa letu.
Ni suala la vyuo vyote nchini kuunga mkono suala hili ambalo nimelibatiza kama janga la kitaifa. kama serikali haitatoa hatma ya wadogozetu ambao hawajadhaminiwa mikopo, sio siri kitaeleweka nchi nzima.
"WE WERE BORN TO SAVE AND NOT TO BE SAVED".
Ni wakati wa kufanya mapinduzi ya elimu nchini ili tu kusaidia watoto wa familia zilizo masikini kupata matumaini.
Nadiriki kusubutu kusema kwamba "MAPINDUZI YASIPOFANYWA NA JESHI LA JAMHURI HUSIKA, MAPINDUZI HAYA NI SHARTI YAFANYWE NA WASOMI".
tuungane mkono kwa hili katika kulijenga taifa letu
EMEKHA IKHE....
 
Usiulize TANZANIA ITAKUFANYIA NINI BALI WEWE UAIFANYIA NINI TANZANIA.kazi kulaumu dume zima haya huna hivi ulishawahi hata kutoa solution kwa matatizo ya kata yako achila mbali Bodi ya mikopo.kama sio unafki tu.Sasa kama Kila mtu analia kuanzia rais mpaka wananchi nani atakuja na solution?
 
Sasa @ menny we unafkri mi nicpo ililia serikali,mi mtoto wa mkulima nitamlilia nani? Mvua zenyewe hazitabriki,we unafkiri mill.4 ntatoa wapi??? Ndio serikal inawajbu wa kusupport wananchi wake.
 
Tatizo watanzania tunapenda kulialia. Janga si kitaifa ni janga lako mwenyewe na familia yako. Andamana mwenyewe na mkeo na watoto wako. Unataka kila kitu serikali ikufanyie, wewe umeifanyia nini?
 
Sasa @ menny we unafkri mi nicpo ililia serikali,mi mtoto wa mkulima nitamlilia nani? Mvua zenyewe hazitabriki,we unafkiri mill.4 ntatoa wapi??? Ndio serikal inawajbu wa kusupport wananchi wake.

inasupport kadri ya uwezo wake, na imeshafanya hivyo. Haina uwezo wa kuwasomesha wote.
 
Usiulize TANZANIA ITAKUFANYIA NINI BALI WEWE UAIFANYIA NINI TANZANIA.kazi kulaumu dume zima haya huna hivi ulishawahi hata kutoa solution kwa matatizo ya kata yako achila mbali Bodi ya mikopo.kama sio unafki tu.Sasa kama Kila mtu analia kuanzia rais mpaka wananchi nani atakuja na solution?

Mkuu unatarijia uifanyie nini nchi ambayo viongozi wake wametawaliwa na rushwa? Hawajui kumwajibisha kiongozi mwenzao anapokosea? Angali kunasheria ambazo zimewekwa na sasa zinawasimamia wanyonge tu huku viongozi wake wako juu ya sheria? Najua tz wakitumia rasilimali zao ipasavyo wanavyuo hatakopeshwa bali watasomeshwa bure.
 
Tatizo watanzania tunapenda kulialia. Janga si kitaifa ni janga lako mwenyewe na familia yako. Andamana mwenyewe na mkeo na watoto wako. Unataka kila kitu serikali ikufanyie, wewe umeifanyia nini?

Aliyekupa wewe ndo aliye mnyima huyu anaelalamika kumbuka kuwa kuna mtu aliyelipa kwa shida ada ya elfu20 ktk shule za kata leo hii umwambie alipe millini kadhaa unafikiri ataweza? Huku vipaombele walivyotoa wameviweka kando
 
Ccm wameona wakiwaelimisha wananchi wake hawatavumilia upumbavu wao watawaondoa madarakani ndo maana wameona watuache tuendelee kuwa wajinga
 
Tatizo kubwa la watz wengi ni kusahau upesi shida wanazozipata, wakipewa ubwabwa wakati wa kampeni basi wanaona hao ndo wanaofaa. Tutaendelea kuumia tusipobadili huu mfumo!
 
kumbe kuna wanaoshika peni pasina kua na akili...fikiria kwanza kabla ya kuandika hapa...unasuport ujinga halafu na ww unajita grt thnker...thnk twice
 
Usiulize TANZANIA ITAKUFANYIA NINI BALI WEWE UAIFANYIA NINI TANZANIA.kazi kulaumu dume zima haya huna hivi ulishawahi hata kutoa solution kwa matatizo ya kata yako achila mbali Bodi ya mikopo.kama sio unafki tu.Sasa kama Kila mtu analia kuanzia rais mpaka wananchi nani atakuja na solution?
matatizo ya 10% lazima utamponda mwanaharakati mwanamapindizi na jina lako lenye jinsi tofauti eti 'MERR...' acha kufurahia kupewa pesa za wananchi walalahoi ni laana endelea kutumia masaburi kufurahia.
 
Aliyekupa wewe ndo aliye mnyima huyu anaelalamika kumbuka kuwa kuna mtu aliyelipa kwa shida ada ya elfu20 ktk shule za kata leo hii umwambie alipe millini kadhaa unafikiri ataweza? Huku vipaombele walivyotoa wameviweka kando

tunapolalamikia serikali tunakosea. Tunamaanisha kila anayepata chuo alipiwe na serikali. Je itawezekana?
 
tunapolalamikia serikali tunakosea. Tunamaanisha kila anayepata chuo alipiwe na serikali. Je itawezekana?

kaka hivi wewe unaakili timamu????...........swali gani la kipuuzi umeuliza maana nilikuwa sina malengo ya kuandika chochote kwenye hii thread ila nilivyoona hili swali nikashangaa wewe unaishi porini au hupo WAPI???....havi hizo hanasa wanazo fanya viongozi na posho wanazopeana kwenye vikao visivyo na dhamira yeyote kwa wananchi inashindwa angalau hata kumpa asilimia 50 ya hada tu???........mimi nimepata mkopo ila sijapenda huu mfumo angalau watupe hata wote asilimia sawa kuliko hii ya huyu 90 huyu 10,kuwa na huruma na binadamu mwenzio hiyo ela hakufikishi kokote dunia ni hii na utaiacha na watakuja wengine.
 
dah ebwana by merry chrismass,hivi wewe si ndiye mkeo karipiwa aslimia mia pale u dom na ile hali una uwezo,yaani inafikia hatua ya kutukana masikini kiasi hicho hivi wewe umeshawahi hata kushika jembe kweli halafu usikilizie machungu yake dogo au wewe ndiye unaeoshwa u msaburi hapa mjini naaapa kwa mwenyezi mungu siku babako akitika pala ujue na wewe ndiyo mwisho wa mafanikio yako **** u,mmekula nchi halafu mnadanganya watanzania na misemo ya kijima eti wewe umeifanyia nini nchi yako je wewe umeifanyia nchi yako kwa kuibia rasilimali zao kwa taarifa tu hata mimi ni mmojowapo niliyokosa mkopo lakini naapa mpka kielleweke na bora watu tufe nipo tayari kumaaaaaaa wewe.mwizi mkubwa wewe.
 
Naungana na mtoa Mada 100% kuwa ni "Janga la kitaifa" hasa kwa mwaka huu,mi naona bodi imeshindwa kaz kabisa.Kwa kweli bomu wanalotengeza mwaka huu likilipuka sijui kama nchi hii kutakalika tena.
Mimi Binafsi kama hali itendelea hivi nipo Tayari hata kwa Kujitoa Mhanga nife kufanya lolote make uzalendo na nchi yangu umeshaniishia,malengo na matumaini ya maisha sina tena.Kila nikijitahid kupiga hatua moja mbele narudishwa hatua 100 nyuma na serikali yangu,Je,nihame nchi?!.Imagine mtu amemaliza form 4 kachaguliwa technical school,amemaliza diploma yake kwa shida ajira hamna ameomba mkopo ili aendelee bado mkopo anakoswa.Huyo huyo ametokea shule ya kata.Sasa afanyeje?
Kama ni hivyo bas shule za kata zifutwe au ijulikane kwamba ukisoma shule ya kata usiwe na ndoto za kujiunga na chuo kikuu!
Yaan bas tu hata machozi yananitoka sijui nchi hii tunaelekea wapi jamani!.Natamani kama kungekua na kikundi cha mstituni hapa TZ nijiunge nao,uzalendo umenishinda!
Sorry kwa nitakao wakwaza!
 
Usiulize TANZANIA ITAKUFANYIA NINI BALI WEWE UAIFANYIA NINI TANZANIA.kazi kulaumu dume zima haya huna hivi ulishawahi hata kutoa solution kwa matatizo ya kata yako achila mbali Bodi ya mikopo.kama sio unafki tu.Sasa kama Kila mtu analia kuanzia rais mpaka wananchi nani atakuja na solution?

Hujakumbwa na huu mkasa. Ungekuwepo kwenye kundi la waliokosa mkopo usingelithubutu kuandika hivi.
 
kaka hivi wewe unaakili timamu????...........swali gani la kipuuzi umeuliza maana nilikuwa sina malengo ya kuandika chochote kwenye hii thread ila nilivyoona hili swali nikashangaa wewe unaishi porini au hupo WAPI???....havi hizo hanasa wanazo fanya viongozi na posho wanazopeana kwenye vikao visivyo na dhamira yeyote kwa wananchi inashindwa angalau hata kumpa asilimia 50 ya hada tu???........mimi nimepata mkopo ila sijapenda huu mfumo angalau watupe hata wote asilimia sawa kuliko hii ya huyu 90 huyu 10,kuwa na huruma na binadamu mwenzio hiyo ela hakufikishi kokote dunia ni hii na utaiacha na watakuja wengine.

bora uwemweka sawa manake watu wengine huwa hatufikirii kabisa kupata kwako isiwe ndo kuwabania wenzio na kuwashabikia bhana
 
Huyu menny terry ana mtindio wa ubongo!matatizo ya hii nchi yamezid kuwa mengi, nchi imekosa dira, haina kipaumbele, haina raisi, speaker, waziri mkuu, makamu wa raisi hawa wote viti vipo wazi, jamani tunafanyaje kupata viongozi hawa!2015??mbona mbali hivi?elimu ya sasa issue sana, vijana wamekosa matumaini!huwezi kuapoint viongozi kwa kuangalia ushikaji ukategemea makubwa, unaowaona wanaendelea wameangalia uwezo wa kufanya kazi kwa watu wao si vingine! Na sisi inabidi tufanye mabadiliko haraka sana!watu kama terry wanaotumia masaburi hawawezi kuleta maendeleo!
 
Back
Top Bottom