Alphonce Lusako
Member
- Aug 31, 2011
- 35
- 27
Tumechoka na danadana za siasa, hatuwezi kusikia tena siasa, na hatuwezi kuvumilia na kulimbikiza hali ya masononeko na manung'uniko ya watanzania walio masikini. Katika kusherehekea miaka hamsini ya uhuru ni wakati maalumu wa kufanya mapinduzi, hatuwezi kuvumilia kwa hili, serikali yetu si masikini kiasi cha kuterekeza idadi kubwa ya wanafunzi Kutowadhamini mikopo.
kitendo cha serikali yetu kuto wadhamini mikopo wadogo zetu haswa wale watoto wa walalahoi , ni kulizika taifa kwani vijana ni taifa la kesho, na tunahitaji vijana walio masikini kuja kushika hatamu za uongozi katika taifa letu.
Ni suala la vyuo vyote nchini kuunga mkono suala hili ambalo nimelibatiza kama janga la kitaifa. kama serikali haitatoa hatma ya wadogozetu ambao hawajadhaminiwa mikopo, sio siri kitaeleweka nchi nzima.
"WE WERE BORN TO SAVE AND NOT TO BE SAVED".
Ni wakati wa kufanya mapinduzi ya elimu nchini ili tu kusaidia watoto wa familia zilizo masikini kupata matumaini.
Nadiriki kusubutu kusema kwamba "MAPINDUZI YASIPOFANYWA NA JESHI LA JAMHURI HUSIKA, MAPINDUZI HAYA NI SHARTI YAFANYWE NA WASOMI".
tuungane mkono kwa hili katika kulijenga taifa letu
EMEKHA IKHE....