Janga la Corona: Nashauri mabasi ya mwendokasi na daladala yasijaze abiria mpaka wanasimama

mpima mstaafu

Senior Member
Jul 7, 2018
131
238
Natoa Ushauri kwa Waziri wa Uchukuzi, Waziri wa Afya na SUMATRA kuwa kutokana na Tangazo la Waziri wa Afya kuwa tayari Tanzania ina mgonjwa wa Corona, nashauri kutokana na moja ya taadhali za ugonjwa huo ni kutokugusana, kukushikana, kupumuliana kwa karibu naomba hili la Mabasi yetu ya Mwendokasi na Daladala kujaza Abiria kupita kiasi liangaliwe.

Naomba Mabasi ya Mwendokasi na Daladala Abiria wawe wa KUKAA TU NA KAMA KUSIMAMA WASIZIDI 10 KWA MWENDOKASI NA 5 KWA DALADALA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na watoe BRT za muda kwa mabus ya kawaida zinapoenda hizo bus za mwendo kasi
 
Watu huwa wanashauri mapema kama hivi hatua hazichukuliwi,mpaka taahira mmoja aje atumbuliwe kwenye press ndio utasikia tamkoz.
 
Warudishe as EMERGENCY daladala EICHER route zote walizofuta Kivukoni-Mbezi, Kivukoni-Buguruni, Kkoo-Mbezi...
Watoe vibali vya dharura...

Everyday is Saturday.................. :cool:
 
Natoa Ushauri kwa Waziri wa Uchukuzi, Waziri wa Afya na SUMATRA kuwa kutokana na Tangazo la Waziri wa Afya kuwa tayari Tanzania ina mgonjwa wa Corona, nashauri kutokana na moja ya taadhali za ugonjwa huo ni kutokugusana, kukushikana, kupumuliana kwa karibu naomba hili la Mabasi yetu ya Mwendokasi na Daladala kujaza Abiria kupita kiasi liangaliwe.

Naomba Mabasi ya Mwendokasi na Daladala Abiria wawe wa KUKAA TU NA KAMA KUSIMAMA WASIZIDI 10 KWA MWENDOKASI NA 5 KWA DALADALA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kama Mbingu na Ardhi kukutana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_jpeg_1584365528414.jpeg
 
Huu ni muda muafaka kabisa wa kuweka sheria ya daladala zote kutembea bila kusimamisha abiria,na hata kama ugonjwa utaisha sheria ibaki,itasaidia sana kudhibiti magonjwa kama TB nk

Luganga.
 
Hii awamu ina nuksi sana
Ndege zimebuma Daraja ka Kiyegeya limebuma Kilichofanikiwa ni kuzulumu Korosho kupiga risasi hadharani kupiga Wapinzani na kuwavunjavunja

Kununua Wapinzani kwa fedha za walipa kodi

Kuitia tume huru mfukoni
 
Back
Top Bottom