Janga jipya :Pacha wa ugonjwa wa ukimwi waingia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Janga jipya :Pacha wa ugonjwa wa ukimwi waingia...

Discussion in 'JF Doctor' started by Gumzo, Sep 13, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]WAKATI wanasayansi wakiwa wanakaribia kukamilisha utafiti wa kuwezesha kupata tiba ya Ukimwi, ugonjwa mpya ambao unafanana kwa karibu kabisa na huo, umeibuka.

  Adult-Onsets Immunal Deficiency (AOI) umeripotiwa kuibuka katika nchi za Ulaya na kusambaa kwa kasi duniani.

  Kuibuka kwa ugonjwa huo, kumesababisha hofu mpya katika nchi za Ulaya na Bara la Asia ambako wagonjwa wengi zaidi wameonekana kuathiriwa na ugonjwa huo.

  Ugonjwa huu umegunduliwa na Dk Sarah Browne wa Taasisi ya Mzio na Magonjwa ya Kuambukiza ya nchini Marekani (NIAID) ambaye aliongoza timu ya wanasayansi walioendesha utafiti husika.  CHANZO: GUMZO LA JIJI
   
 2. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huu uzi haujakamilika mkuu. Huu ugonjwa unasababishwa na nini? Nini dalili zake? Unaathiri vipi maisha ya mwanadamu?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Lord have mercy!
   
 4. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Changamoto nyingine kwa Binadamu.
   
 5. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,481
  Likes Received: 2,144
  Trophy Points: 280
  Unathiri wathungu 2 au na wafrika, wajemeni?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umetokana na Nyani wa Ulaya?
   
Loading...