Jane njoo leo nimekuja na condom mpenzi: Mambo ya house girl hayo!

ukiyavulia maji nguo lazima uyaoge so kwakuwa unataka kukaa na housegal akusaidie kazi basi vumilia na masumbufu yake pia... kila kitu kinamaudhi na masumbufu yake so watch out!!
 
Mimi ilshanikuta, lkn ni dreva wa ofisini kwetu. Akinileta alikuwa anataniana na maid wangu. One day, nilitoka ofisini mapema nikawa chumbani, mara nasikia gari na honi, nilivyochungulia naona gari leti. Binti akaenda, alivyorudi namuuliza kuna ujumbe gani, anasema dreva alikuwa na shida nyumba ya jirani ila aliamua kupack gari kwangu.

Later nilikuja gundua baada ya kugundua mdogo wangu (mtoto wa mama mdogo wangu) ameniibia spare ya funguo ya chumba changu; so walichokuwa wanafanya nikisafiri, maid anakuwa na dreva waqngu chumbani kwao, then mdogo wangu anakuwa na mtu wake chumbani kwangu.

Mwisho wa siku niliwatimua wote!

Mhhhhhhhhhh! Pole sana aisee!
 
Hivi wewe umeshawahi angalau siku kuwaza jambo lolote la maana, i think wewe na huyu so called Erotica mnapaswa muwe Mume na Mke maana you're in the same category.

mleta mada naona yupo sahihi binafsi nimejifunza kitu
na kushare experience za maisha si jambo baya
punguza bro
 
Back
Top Bottom