Jane njoo leo nimekuja na condom mpenzi: Mambo ya house girl hayo!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Hebu fikiria uko ndani sebuleni unatoa maelekezo kwa house girl wako
juu ya nini akifanye kwa siku ya leo kabla hujaenda kazini. Ghafla
unasikia sauti ya mwanaume anagonga hodi kwa namna inayoonyesha
ni mzoefu na nyumba yako.

Hujakaa vizuri unamsikia anamuita house girl wako, akiwa ameshafungua
mlango "Jane njoo leo nimekuja na condom mpenzi!". Mama menye nyumba
nusura aanguke chini kwa kizunguzungu.

Hili limetokea nyumbani kwa jirani yangu-'sio yule wa kwanini hununui gari'.
Inaonekana huyu mvulana na house girl walikuwa na mazoea ya kubanjuana
wakati wenye nyumba wako kazini. Hiyo jana jirani alichelewa kuondoka baada
ya gari la ofisi kuwahi kupita.

Note: Kuna uwezekano mkubwa majumba yetu hugeuzwa madanguro ya muda na
ma-house girl tuwapo kazini bila kujua.
 
Mkuu ndyoko haya mambo ni magumu sana
Nyumba ni ya kwako ila yanayofanyika mchana humo ndani ya nyumba yako ukiambiwa hutaamini
yaani wanajiachia kufanya kila wanalotaka wala hawajali kuna kuonekana na wakati mwingine watoto wamefungiwa au wako nje kwenye ubaridi huko wameambiwa wakacheze
Uchafu mwingine unafanyika mpaka sebuleni
 
Note: Kuna uwezekano mkubwa majumba yetu hugeuzwa madanguro ya muda na
ma-house girl tuwapo kazini bila kujua.

Daaahh na utafukuza wangapi??? ...na watoto wangu wadogo sijui wanaona nini yarabi ....Mungu saidia kukuza watoto wetu kwa uharaka..
 
Hivi wewe umeshawahi angalau siku kuwaza jambo lolote la maana, i think wewe na huyu so called Erotica mnapaswa muwe Mume na Mke maana you're in the same category.
 
Hivi wewe umeshawahi angalau siku kuwaza jambo lolote la maana, i think wewe na huyu so called Erotica mnapaswa muwe Mume na Mke maana you're in the same category.

Kwa mfano wote ni wanaume, inakuwaje?
 
Wape hongera kwa kuwa wanakumbuka kutumia condom, kwa maana hiyo hutakuwa na kazi ya kubadilisha house girl kama angefanya bila condom na kupata mimba !!
 
Mkuu ndyoko haya mambo ni magumu sana
Nyumba ni ya kwako ila yanayofanyika mchana humo ndani ya nyumba yako ukiambiwa hutaamini
yaani wanajiachia kufanya kila wanalotaka wala hawajali kuna kuonekana na wakati mwingine watoto wamefungiwa au wako nje kwenye ubaridi huko wameambiwa wakacheze
Uchafu mwingine unafanyika mpaka sebuleni

Acha kabisa. Kuna dada mmoja kazini alishangaa kuona mtoto wake wa kiume ana-imitate zile simple harmonic motion wakati wa love making kwenye makochi. Hakujua ila siku majirani wakamwambia kuwa anapotoka tu kwenda job, nyuma kuna njema huwa inatia timu na kumalizana na house girl huku mwanawe akishuhudia
 
Hivi wewe umeshawahi angalau siku kuwaza jambo lolote la maana, i think wewe na huyu so called Erotica mnapaswa muwe Mume na Mke maana you're in the same category.

halafu we kila uchao unanitafutia ban.
 
Hiyo nilishawahi kuktana nayo siku niliporudi nyumbani ghafla mchana wa saa tisa hivi,
Kwanza nilishangaa mlango wa getini kuchelewa kufunguliwa, baadae binti alikuja mijasho ikimtoka.
Nilizani sababu ya jua na shughuli za ndani, kumbe wapi alikuwa akivunja amri ya sita.
Nilivokuwa nimechoka nikaka sebleni, sasa milango ya uani nayo ina mengi, ghafla nikamwona mtu kupitia dirishani akitokea uani kwenda getini. Kumbe sikusoma mchezo binti aliponifungulia akaacha mlango wa geti wazi. Nilipoenda kufuatilia getini jamaa huyo kaishatoweka. Kumbana maswali binti akakubali, nilichofanya ni kumsubiri bosi wake amlipe asepe!.
 
Acha kabisa. Kuna dada mmoja kazini alishangaa kuona mtoto wake wa kiume ana-imitate zile simple harmonic motion wakati wa love making kwenye makochi. Hakujua ila siku majirani wakamwambia kuwa anapotoka tu kwenda job, nyuma kuna njema huwa inatia timu na kumalizana na house girl huku mwanawe akishuhudia

Mkuu ndyoko wacha haya mambo kabisa
Ni magumu sana kuyawazia haswa sisi ambao unakuta na mke nae ni mfanyakazi
na asipokuwa makini kuangalia nyendo za mtoto ni balaa
Na ndo maana watoto wanaharibika mapema sana aise
 
muwe na tabia ya kuwapa off ya kwenda kutembea kumaliza haja zao mabosi wengine toka anamwajiri mpaka siku anaondoka hajawahi kumpa msichana wake likizo hata ya siku mbili unategemea yeye hana hamu ya kubanjuka.
 
Back
Top Bottom