ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,556
- 44,735
Kwa mfuko wa TPC wa kilo 50 ulikuwa unauzwa 117000 Mwezi uliopita Mwezi huu bei ikafikia 120000.
Jana jioni naenda kununua nakuta ni 123000 hivyo kuna ongezeka la 6000 that means kama madukani tulikuwa tunauza 2500 kwa kilo itabidi bei iwe 2700 au 2800.
Pia na tambi zimepanda sana Santa Lucia ilikuwa 21000 sasa hivi 24000.za Mo ilikuwa 19000 sasa hivi 21000..imekaaje hii wakuu kuelekea Mwezi wa Ramadhani.