Jana siku ya wanawake nimempiga chini aliyekuwa housegirl wangu

Eti ndio mwandiko wa mtu mwenye ndoa yake kweli huu???

Heshi nyinge kweny, nlileta uzi hapa mwaka jana nimeutafutasijauona. Miaka 3 nlikuwa na mahusiano ya kimapenzi na beki tatu wangu, niseme tu binti huyu japo hajui mapenzi ila ni mtam sio kawaida, tulikuja kugundulika ila sio live ni ushahidi wa kuhisia tu.kna kipindi nlimk\mata mpenzi wangu huyu mara kadh\ na sms za wanaume nikamsamehe. Jana kaniambia amepata mchumba wa kumwoa and hapa kati amekuwa na visingizio kedekede kila nikitaka mzigo. Nimeamua kumdis yaishe, japo hataki kabisa tuachane, anasema ameamua tu kuolewa kwa vileanajua mm nina ndoa yangu siwezi kumwoa. Ila ananipenda mm na si mchumba wake, na yupo tayari kuzaa na mm na ikitokea nimamzalisha hataoleww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndo tatizo la kuanza maisha ya ndoa ukiwa bado huja komaa kiakiri

Pumbavu. Nenda kafanye kazi ulee familia. Namna hii vyuma vitaacha kukaza, kutwa unawaza michepuko badala ya kutafuta fursa ukamwaga hapa. Mpenda vya bure wewe huwezi kumudu wanawake wanaojitambua.
 
Heshi nyinge kweny, nlileta uzi hapa mwaka jana nimeutafutasijauona. Miaka 3 nlikuwa na mahusiano ya kimapenzi na beki tatu wangu, niseme tu binti huyu japo hajui mapenzi ila ni mtam sio kawaida, tulikuja kugundulika ila sio live ni ushahidi wa kuhisia tu.kna kipindi nlimk\mata mpenzi wangu huyu mara kadh\ na sms za wanaume nikamsamehe. Jana kaniambia amepata mchumba wa kumwoa and hapa kati amekuwa na visingizio kedekede kila nikitaka mzigo. Nimeamua kumdis yaishe, japo hataki kabisa tuachane, anasema ameamua tu kuolewa kwa vileanajua mm nina ndoa yangu siwezi kumwoa. Ila ananipenda mm na si mchumba wake, na yupo tayari kuzaa na mm na ikitokea nimamzalisha hataoleww

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani na wewe eti uko kwenye ndoa. Ina maana ndoani watu wajinga hivi?
 
Unaanzaje kutembea na dada wa nyumbani ? tena ambae wewe ndo Baba wa nyumba ? Yaani wanawake warembo wote waliojaa mtaani kama unataka nyumba ndogo umeshindwa?
Acha kutuaibisha
 
Back
Top Bottom