Darleen
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 570
- 483
Heshi nyinge kweny, nlileta uzi hapa mwaka jana nimeutafutasijauona. Miaka 3 nlikuwa na mahusiano ya kimapenzi na beki tatu wangu, niseme tu binti huyu japo hajui mapenzi ila ni mtam sio kawaida, tulikuja kugundulika ila sio live ni ushahidi wa kuhisia tu.kna kipindi nlimk\mata mpenzi wangu huyu mara kadh\ na sms za wanaume nikamsamehe. Jana kaniambia amepata mchumba wa kumwoa and hapa kati amekuwa na visingizio kedekede kila nikitaka mzigo. Nimeamua kumdis yaishe, japo hataki kabisa tuachane, anasema ameamua tu kuolewa kwa vileanajua mm nina ndoa yangu siwezi kumwoa. Ila ananipenda mm na si mchumba wake, na yupo tayari kuzaa na mm na ikitokea nimamzalisha hataoleww
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndo tatizo la kuanza maisha ya ndoa ukiwa bado huja komaa kiakiriHeshi nyinge kweny, nlileta uzi hapa mwaka jana nimeutafutasijauona. Miaka 3 nlikuwa na mahusiano ya kimapenzi na beki tatu wangu, niseme tu binti huyu japo hajui mapenzi ila ni mtam sio kawaida, tulikuja kugundulika ila sio live ni ushahidi wa kuhisia tu.kna kipindi nlimk\mata mpenzi wangu huyu mara kadh\ na sms za wanaume nikamsamehe. Jana kaniambia amepata mchumba wa kumwoa and hapa kati amekuwa na visingizio kedekede kila nikitaka mzigo. Nimeamua kumdis yaishe, japo hataki kabisa tuachane, anasema ameamua tu kuolewa kwa vileanajua mm nina ndoa yangu siwezi kumwoa. Ila ananipenda mm na si mchumba wake, na yupo tayari kuzaa na mm na ikitokea nimamzalisha hataoleww
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu. Nenda kafanye kazi ulee familia. Namna hii vyuma vitaacha kukaza, kutwa unawaza michepuko badala ya kutafuta fursa ukamwaga hapa. Mpenda vya bure wewe huwezi kumudu wanawake wanaojitambua.Heshi nyinge kweny, nlileta uzi hapa mwaka jana nimeutafutasijauona. Miaka 3 nlikuwa na mahusiano ya kimapenzi na beki tatu wangu, niseme tu binti huyu japo hajui mapenzi ila ni mtam sio kawaida, tulikuja kugundulika ila sio live ni ushahidi wa kuhisia tu.kna kipindi nlimk\mata mpenzi wangu huyu mara kadh\ na sms za wanaume nikamsamehe. Jana kaniambia amepata mchumba wa kumwoa and hapa kati amekuwa na visingizio kedekede kila nikitaka mzigo. Nimeamua kumdis yaishe, japo hataki kabisa tuachane, anasema ameamua tu kuolewa kwa vileanajua mm nina ndoa yangu siwezi kumwoa. Ila ananipenda mm na si mchumba wake, na yupo tayari kuzaa na mm na ikitokea nimamzalisha hataoleww
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani na wewe eti uko kwenye ndoa. Ina maana ndoani watu wajinga hivi?Heshi nyinge kweny, nlileta uzi hapa mwaka jana nimeutafutasijauona. Miaka 3 nlikuwa na mahusiano ya kimapenzi na beki tatu wangu, niseme tu binti huyu japo hajui mapenzi ila ni mtam sio kawaida, tulikuja kugundulika ila sio live ni ushahidi wa kuhisia tu.kna kipindi nlimk\mata mpenzi wangu huyu mara kadh\ na sms za wanaume nikamsamehe. Jana kaniambia amepata mchumba wa kumwoa and hapa kati amekuwa na visingizio kedekede kila nikitaka mzigo. Nimeamua kumdis yaishe, japo hataki kabisa tuachane, anasema ameamua tu kuolewa kwa vileanajua mm nina ndoa yangu siwezi kumwoa. Ila ananipenda mm na si mchumba wake, na yupo tayari kuzaa na mm na ikitokea nimamzalisha hataoleww
Sent using Jamii Forums mobile app