Angalia marudio.Alibana baada ya kuuzuia mpira! Hata hivyo "uto" tumeshawazoea.Yondani aliwahi fanya hivyo na Tambwe alifunga kwa mkono.Yote hayo ni ushahidi tosha- "mbeleko!"Sio kweli kwamba alitanua kwapa, acheni ushabiki bwana.

Ni jobwe nawe acha pombe,hakuwa kibwana yule.
Naunga mkono hoja mkuu na uzuri malipo ni hapahapa huenda wakanyimwa penati next game utawaona watakavyogeuka mbogoUshindi wao kwa asilimia kubwa unategemea marefa tu. Ndio maana kwenye game za champions league hawafikagi mbali . kwa trend tu ya kutoka mwaka jana naanza kuhisi hata ubingwa wa miaka ya nyuma walikuwa wakiuchua kiivyo.
Trust me kama timu yanga ingenyimwa zile penaiti leo bongo ingekuwa haitoshi.
Ndo tatizo la wabongo mtu umelalamika halafu mwisho unasema hulalamiki😅😅Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box
Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali kwa sheria za mpira za FIFA
Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
Wewe muongo unaleta madai pasi ushahidiKuna rafu morrison alichezewa sikumbuki nani alimchezea ilimuwa ni red refa hakutoa hata yellow
Ndio mkuu hawa wanabebwa sana na ndio maana huko kwenye mataifa anaejulikana ni simba. Nikijaribu kutrace ni kuanzia goli la mkono la tambwe, penaiti ya tuisilia kufanyiwa faulo nje ya kuminane round ya kwanza na hata jana refa kapeta penaiti mbili za simba.Ndiyo maana hata kimataifa wanakuwaga mikia maana huko marefa hawawabebi hata nukta
Wale sio wachambuzi ni wasaka TONGE/mkate wa siku through football kwa kivuli cha uchambuzi ..nakupa mfanoNawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box
Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali kwa sheria za mpira za FIFA
Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
Umeona tu hilo? Hukuona clutch ya Boko kipindi cha kwnz na alipaswa ale red card?Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box