Jana nimezichapa kavukavu na rafiki yangu

Jana majira ya jioni saa 12 hivi kama SAA hii nilipita kwenye bar Fulani mjini hapa kama demu wangu kwambali labla macho yanashida nikasogea kumbe ni yeye tena yuko na mhuni mmoja wanamenya vyombo demu kumuuliza vipi ulinidanganya hunywi na pia humenyi na wahuni alinijibu kunyaah pia akaniita jina baya sana ambalo kila mwanaume .....analichukia...gay...nadhani mshalijua) nikamshika mkono kwa nguvu akaning'ata nikamwachia akaniambia akiwa na zimba lake niwe mupole nikataka kumpa Kofi jamaa akaingilia akaanza kuzirusha namm kujirinda nikahanza kupigana tukipigana pale na demu alipotea nashukulu mungu nilimtandika sana akunizuru japo simu yangu ikavunjika kioo SAA ikapotea lakini kichapo alikula watu walivokuja kuamua wakatushauri tuondoke waniambia ondoka haraka kabula hawajaja waasikari utapata shida nikapakia bodaboda nikakimbia nilimwacha jamaa pale akidai atanifanya mbaya sijui liloendelea nimefika home nijiuliza nimfuate na yule demu wangu nimpe kipigo kwa kunidhalilisha afu namwacha tangu leo

Huo ndio mukasa fungua Mwaka 2018
Kujirinda = kujilinda
Kabula=kabla
Kunizuru=kunidhulu
Waaskari=Askari
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom